Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Nakupa hongera kwa kuachana nae make uckute virus kwa sabbu ya tamaa zake za kifara.
 
Kuna thread ilikuwa inasema........unaweza kuwa na mtu ukaandamwa na mikosi.......au bahati.........haya sasa........ndio hiyoooo..............

Ni kweli niliandika mm juzi una kumbukumbu we kamwana.
 
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....
Ila lawama zisiwepo, sawaa?
 
Yani usibishe kuwa hujaona wivu, ndo mlivo baadhi ya wanaume, ulitaka mkionana akuombe nauli.

Madam umefatiria hiyo gari kaipata vipii soma comment zangu za hapo nyuma kapewa na babu hahahahahaha
 
Madam umefatiria hiyo gari kaipata vipii soma comment zangu za hapo nyuma kapewa na babu hahahahahaha

Pengine unamzushia tu kujisafisha, hata hivo si bora kapewa altzeza na babu kuliko angekopwa je!
 
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae

sasa kama ulikuwa huna pesa mwenzako amehonga gari na wewe tafuta ukanunulie hata meli
 
inatokea ktk maisha ni bahati yake tu! wala c kwasababu ni Mdada au Mrembo NO:mimba:
 
sasa yeye kabaki analalama na kutafuta visingizio!!! mtu wa hivi ukiwa nae mbona unalo!

Tena kwa kauli zake hapa nahisi ndo wale wale wanyegubu usipime, yani yeye hakufanyii chochote na ukijitahidi kwa juhudi zako anakumind
 
sasa yeye kabaki analalama na kutafuta visingizio!!! mtu wa hivi ukiwa nae mbona unalo!

Madam nilalamike kwa lipi kwakua nimekuja kushare hapa ndio nalalamika??kwakua amepata mzeew mwenye mapesa ndio nilalamike nimeshangaa tuu maaana mimi ndiye ninayemfaham zaidi yako na naijua familia yaoo ndio maana nimeshangaa ndani ya miezi michache hivi kupewa gari na huyo mzee(mpenz)wake mimi namaisha yangu nashukuru Mungu kwa kidogo alikonijaria haka haka sina tamaa nitapata tuuu kwa kudra zake madam nina POTENTIAL na kazi inayonipa ka mshahara hakahaka kadogo
 

Have you read any books on the subject - Real state?
Naamini una ufahamu kiasi fulani kwenye hilo. You could start a book club kind of thing here in JF to teach (or help others). In the process, you'll get a lot of volunteers who would assist you to get what you're lacking/requesting. You win, and they also benefit.

What do you think?

tena kaumia haswaaaa!!! na ndivyo walivyo, mwanamke akifanya maendeleo tu wanakimbilia kufikiria 'kahongwa' huko ni kujifariji tu, nawe si ungemhonga basi km kuhonga rahisi hivyo!
 
Tena kwa kauli zake hapa nahisi ndo wale wale wanyegubu usipime, yani yeye hakufanyii chochote na ukijitahidi kwa juhudi zako anakumind

Ni vile tuu hunijui madam thatswhy unasema hivyoo namheshim msichana nae kua naw na najitaidi kumfanya afurahi kwa uwezo wangu mdogo sasa kama utataka nikupe ambachosina hapoo ndipo huwa tunashindana
 
Tena kwa kauli zake hapa nahisi ndo wale wale wanyegubu usipime, yani yeye hakufanyii chochote na ukijitahidi kwa juhudi zako anakumind

akili mgando hizo, ushasema ni 'x' sasa wewe maisha yake waendelea kuyafuatilia ya nini kama sio wivu?? ulitamani kumuona kafulia ee? sasa mambo yamenyooka unaweweseka mchana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom