Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,111
- 93,169
Nautashindwaje sasa ????? Calories zimekujaaaa ,,hapo lazima akupe heshima yakoHahahaha
Wakitoka hapo kazi ya kudumisha ndoa inaanza... Baba lazima ashibe.
![]()
Nautashindwaje sasa ????? Calories zimekujaaaa ,,hapo lazima akupe heshima yakoHahahaha
Wakitoka hapo kazi ya kudumisha ndoa inaanza... Baba lazima ashibe.
![]()
Hewaaaaaaaaaa unambiwa mjeda amepata bonge la msupu unaminofi hatareeeeew,,,
Mkuuu unambiwa ndoa INA manjonjo banaaahii kitu hiii isikieee![]()
sawa mjomba[emoji124] [emoji124]Shangazi shikamana na ndoa yako,zile pm za JF zipuuze zisije kukuharibia ndoa yako bure!!
Eeeeeh.. kuna wanaume tunawapenda wanawake hatuwazi hela zao wala nini. Kama hata hana unamwambia baby tutatafuta cha msingi we are happy mengine yatakuja tu baby.Hahahah! Chiboko yake siyo?
Ngoja niendelee kumsubiri ila akiendelea kuchelewa shauri yake ..bora niwe papa tu bahar inatosha.Atakuja tu
Hahahahaaa..Mmmhh Hapo Sasa Shetani Mvuta Kamba Kapitaa
Ukiwa unaendelea kumsubiri unaweza kuwa papa. Usipova samaki wadogo utapataje wakubwa?Ngoja niendelee kumsubiri ila akiendelea kuchelewa shauri yake ..bora niwe papa tu bahar inatosha.
Ebwanaaaaa hata km ni jezi ya Lipuli FC.Nasema hiviii. Hata Jezi Ya Yanga Tutavaaa tuu
Hakika ndoa nitamu bana Aachen ndoa iitwe ndoaaa
Nautashindwaje sasa ????? Calories zimekujaaaa ,,hapo lazima akupe heshima yako
Kudadekiiiiii km andiko linavyosema vile sheikh !!! Usipokula diet unaweza kufia mapajani kwa mke wa nne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha manjonjo noma hayo. Ndoa tamu bhana... wenyewe wameshakubali
![]()
Nikweli kabisa jamaaaan doooooooo umenikumbusha miaka kadhaaa ivi ila Noway out [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120]Eeeeeh.. kuna wanaume tunawapenda wanawake hatuwazi hela zao wala nini. Kama hata hana unamwambia baby tutatafuta cha msingi we are happy mengine yatakuja tu baby.
Hakika ndoa nitamu bana Aachen ndoa iitwe ndoaaa
Kudos!!!!!! as it may applyEeeeeh.. kuna wanaume tunawapenda wanawake hatuwazi hela zao wala nini. Kama hata hana unamwambia baby tutatafuta cha msingi we are happy mengine yatakuja tu baby.
Nikweli babu yangu aliwah Nambia ...Ukishakua Mvuvi hakikisha Kila samaki iloko nyavuni kwako ,unaitumia km kawaida haijalishi ni mdogo au mkubwa[emoji23] [emoji23] ..wacha nianze kupiga tizi...ila hata watizi kiukweli asiwe na mifupa mingi dooohhhhUkiwa unaendelea kumsubiri unaweza kuwa papa. Usipova samaki wadogo utapataje wakubwa?
Dadeki kwa msuli huo mkuuu haaaaaaa kiuno cha mkeo kinaweza kukushinda ,,alafu ndo upate m'mama wawatu kajaa mafuta mafuta ,mwili huoooo..Ukipiga na tizi kidogo, lazima ndoa iheshimike
![]()