Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

mtoa mada umenigusa aisee, mie ninatembea kwa TZ 11 halafu unijie tena na tz11? akhuu mie hata kama kaazima mie poa tu ili mradi anidanganye ni lake.
Bora umesema yako ya moyoni
 
Nimegundua sitatumia nguvu nyingi kwenye kutongoza... Gari ni kama chambo kwenye ndoano unatega samaki anafuata mwenyewe nakunaswa kilaini... We ni kunywa tu supu ya samaki [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatema big G

kwa Karanga za kuonjeshwa!!

Wanawaonea sana watoto wa shule na wanachuo wenye tamaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kama wanapenda magari na kwao hayapo
 
Umenikumbusha kisa cha leo, kuna mkaka huwa ananitokea ofisini, sasa napopaki gari ni mbali kidogo na ofisi coz hakuna nafasi ndani, ( na wala hata hajui kama nna gari ) Leo nimepishana nae ITV nikamshtua Fulani twende , looh kanipa bonge la sonyoo mpaka nikajisikia vibaya ![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] ( sijui nimekosea wapi)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umenikumbusha kisa cha leo, kuna mkaka huwa ananitokea ofisini, sasa napopaki gari ni mbali kidogo na ofisi coz hakuna nafasi ndani, ( na wala hata hajui kama nna gari ) Leo nimepishana nae ITV nikamshtua Fulani twende , looh kanipa bonge la sonyoo mpaka nikajisikia vibaya ![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] ( sijui nimekosea wapi)
Lakini unapenda sio[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
masikini gari lenyewe vits????
Wanawake kutofautisha magari ni kazi sana. Kuna siku rafiki yangu alinunua vitz model mpya akaja nayo kwenye baa fulani tunayopenda kuhang. Baadae nikasikia madada wanaambizana, rafiki yake Uso wa nyoka kanunua gari moja hivi,nzuri hiyo! Iko kama Rav 4 ila yenyewe ya chini zaidi na nzuri zaidi. Aisee nilichoka kabisa.
 
Mimi naitwa naringa,na mademu wengine wanasema haisimami,kisa na mkasa huwa sina time nao,japo nina Magari tena ya pesa ndefu lakini sitongozi mademu kwa sababu ya magari yangu.
Wanawake wabovu wana sifa hiyo maana huwa wanajaribu kukushusha to a level wanayoamini kuwa unalingana nao ili wafarijike kuwa umeshuka. Solution ni kwenda na Mkeo wanapopendelea kukaa. Na umwonyeshe mapenzi mpaka wajisikie kichefuchefu.
Inaudhi sana yani.
 
Mwanaume hata uwe mzuri wa sura kivipi lakini huna gari na vijisenti kidogo mfukoni, hakika utasumbuka sana kutongoza na kukubaliwa kirahisi na mwanamke. Bila kumumunya maneno wala nini, ni ukweli usiofichika kuwa wanawake wengi wamekuwa dhaifu sana punde wakitongozwa ama kufuatwa na mwanaume mwenye gari hata kama sio lake.

Yaani wanawehuka kiasi kuwa warahisi kuwapata kwenda nao kuwabungunyua papuchi. Wengine huwa wanajilengesha wenyewe kwa mbinu zozote wajuazo. Msichana/mdada/sistadu whatever ukimpatia lifti mara kwa mara utakuta kiulaini unaachiwa papuchi mwaa.
Kama nyumba na shamba nitakubali, gari? basi mataxi driver wanafaidi na waendesha bajaj basi.
 
Yaani tembea kwa miguu na milioni yako mfukoni....na mwenzako atembelee kilikuu tuu... imekula kwako broh...pesa yako utarudi nayo kwa home.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom