Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kwahiyo mshagundua type za wanawake ambao mnachukua, ni wale wa std 7 na form 2 wanawapanga hata 20 kwa wakati mmoja wewe unadhani umependewa gari kumbe kitega uchumi.
Hata wenye degree wako hivo wala usiwasingizie darasa la 7.
 
Kuna ME flani walikuja kwa hiyo gia,yani from nowhere tu...wakanikuta me mwenyewe maskini jeuri mfyuu,sijui waliambizana basi nkikutana nao wananiita komando[emoji2]...

Yani bora ubrag about something else ila material stuffs hua nahis kichefchef
 
Hivi bado kuna wanaume wa namna hii!!!
Kwanin usimpe lifti na ukaishia kumwona kama dada tu!
Lazima utongoze?
Tuache mawazo ya kimaskini jmn, mpe msichana lifti na usimtongoze alaaa
Mzee wanaanza wenyewe....
 
wapo walalahoi wanajielewa pia!
Sio kila mwanamke anapagawa na gari, tena kuna mwingine hizo swagger zinaweza m-turn off kabisa. Ila kuna percentage kubwa 7 out 10, ambao ukiwa na usafiri you are 90% there.

Sio kwamba gari ndio attraction hasa, it's what it can do. Ina-facilitate movements ambazo bila gari ngumu kufanikisha.
 
Kwahiyo mshagundua type za wanawake ambao mnachukua, ni wale wa std 7 na form 2 wanawapanga hata 20 kwa wakati mmoja wewe unadhani umependewa gari kumbe kitega uchumi.
Hivyo ndio vitamu, hao wasomi wa kushinda kwenye vitabu kuandaa presentation za PHD tupa kule.
 
ahaha haha ahaah

nasikia hadi maroli, sipati picha haya ya Dangote yatawabeba wangap?
 
Alafu wanajifanya kuyakataa,nishobokee gari mm!,,,hakuna anayekubaligi hilo kirahisi kuwa hirizi ya mjapani kuwa ndio ugonjwa wao,sasa ukutane nao kwenye reality ndo utashangaa,yaani gari na kiepe sijui vina nini dhidi ya warembo! wanatofautiana tuu,mwanafunzi unamla kwa kiepe soda,wa chuo kiepe yai na sayona,level za ma HR mawazir nk,kiepe na fish au na kuku wa kienyeji na dompo kwa umbali,unajilia kiulaini,akiwa mgumu unaongezea na hirizi ya mjapani
 
>>> KWELI somooo mm nimeliuza MKUU baada ya kuona watoto wa SHULE wa KIKE ndio ABIRIA wangu Wakubwa maana Daah hewa ya Nje ni Tamu >>>
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom