Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 239
Mie siti ya nyuma ya gari yangu muda wote nimeilaza.....
Nina kama laki 3 hapa miss chaga. Ukinipigia promo kwamba nafaa nimpate jje's nakupa laki 2 fasta[emoji1] [emoji23]Ha ha ha huyu hakufai hata kadanganywa tabu
Usafiri ni miguu yako hvyo vngne ni vivumishiUsafiri ni miguu auu gari gan??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mbna siku ile tulipanda wote ukashukia mapipa magomeni
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoja nikaazime gari kwa mjomba nijaribu kutongoza nione kama kweli[emoji1]
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu-in jpm voicekugombania dala dala mjini hapa we ni kazi
Duuuuuuu[emoji85] [emoji85]Mimi na bike yangu hii AVON Je??? Maana cjawahi kuzimikiwa kabisaah
amerudi Leo!Leo hujapita[emoji1] ??....Kwa sababu wewe ni bingwa JF wa kusema napita!
hawajui kutumia kwani?!!Kumbe walalahoi pia wanataka pesa??? Duu[emoji27] [emoji27]
Seat ya nyuma ya gari haiwezi kulala. Hata ya bus haiwezi kulala.Mie siti ya nyuma ya gari yangu muda wote nimeilaza.....
huu ni ukwel uliotukuka mkuu.Mwanaume hata uwe mzuri wa sura kivipi lakini huna gari na vijisenti kidogo mfukoni, hakika utasumbuka sana kutongoza na kukubaliwa kirahisi na mwanamke. Bila kumumunya maneno wala nini, ni ukweli usiofichika kuwa wanawake wengi wamekuwa dhaifu sana punde wakitongozwa ama kufuatwa na mwanaume mwenye gari hata kama sio lake.
Yaani wanawehuka kiasi kuwa warahisi kuwapata kwenda nao kuwabungunyua papuchi. Wengine huwa wanajilengesha wenyewe kwa mbinu zozote wajuazo. Msichana/mdada/sistadu whatever ukimpatia lifti mara kwa mara utakuta kiulaini unaachiwa papuchi mwaa.
Si kweli Hornet kwa upeo wenu manaangalia karibiu huwa mnafikiri mtu akiwa na gari bac hata maisha kafanikiwa ndo mana mnaliwa afu mnabwagwatunawapenda mlivyo ila kutokujiamini kwenu mwaona yanapendwa magari!
unakuta gari ubavuni limerembwa kwa sticker, mtakuja butcher meat van,lakn yy hajali ishu kuwa jamaa yk nae ana gari.Mwanaume hata uwe mzuri wa sura kivipi lakini huna gari na vijisenti kidogo mfukoni, hakika utasumbuka sana kutongoza na kukubaliwa kirahisi na mwanamke. Bila kumumunya maneno wala nini, ni ukweli usiofichika kuwa wanawake wengi wamekuwa dhaifu sana punde wakitongozwa ama kufuatwa na mwanaume mwenye gari hata kama sio lake.
Yaani wanawehuka kiasi kuwa warahisi kuwapata kwenda nao kuwabungunyua papuchi. Wengine huwa wanajilengesha wenyewe kwa mbinu zozote wajuazo. Msichana/mdada/sistadu whatever ukimpatia lifti mara kwa mara utakuta kiulaini unaachiwa papuchi mwaa.