Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Yaani kutembea kwa miguu ndo ukose hisia. Kwahiyo hisia zako ziko kwenye gari na wewe😛😛
Nah! ...hujanisoma best sio namdharau kuwa anatembea na mguu! La hasha kwani mi nimetoka wapi si huko huko kutembea kwa mguu?...ila huyu kaka anajishauaga sana ( wenzake wana PhD ye tu kupata kibachelor cha udoctor anajiona full cake halafu analazimisha mademu wote ofcn wamkubali kumbe kila mwanamke chini ya jua huwa ana ladha yake kwa mwanamme[emoji15] [emoji15] ) Tabia yake hiyo tu ndiyo inayonifanya nisimpende!
 
Nah! ...hujanisoma best sio namdharau kuwa anatembea na mguu! La hasha kwani mi nimetoka wapi si huko huko kutembea kwa mguu?...ila huyu kaka anajishauaga sana ( wenzake wana PhD ye tu kupata kibachelor cha udoctor anajiona full cake halafu analazimisha mademu wote ofcn wamkubali kumbe kila mwanamke chini ya jua huwa ana ladha yake kwa mwanamke[emoji15] [emoji15] ) Tabia yake hiyo tu ndiyo inayonifanya nisimpende!

Pole kwa yote, lakini mvumilieni na mchukulieni kawaida huyo braza. Maana wengine wanaweza hata kujidhuru/kuharibikiwa kwa ajili ya hiyo tu.
 
Gari hirizi ya mzungu kwa mwanamke wa kiafrika
Haaa haaa kweli asee kuna baadhi ya wadada wanapenda gari kuliko hata mmiliki gari...usiombe mwanamke unadrive full tinted unakutana na mdada vichochoroni akisikia sauti ya gari anajitingisha ka dudu mafuta, ile unapishana nae anakutana na sura ya demu mwenzake! ***** huwa wanaishiwa pozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahyo sisi wenye magari tunawapendea nini sasa... [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Wanawake wa siku hizi hupenda mali..pesa.gari.nyumba...mambo mengine mtajuana mkishafunga ndoa
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Warembo toka uwanja wa fisi 🙂🙂🙂 Msagiaji mzuri sana wewe LOL!

type ya wanawake anayozungumzia huyu ni ya wale walokata tamaa ya maisha na wengi kutoka uwanja wa fisi, kwa dunia ya sasa anaejitambua huwezi mpata sabab ya gari..GARI? DUH!!!!!
 
Hivi bado kuna wanaume wa namna hii!!!
Kwanin usimpe lifti na ukaishia kumwona kama dada tu!
Lazima utongoze?
Tuache mawazo ya kimaskini jmn, mpe msichana lifti na usimtongoze alaaa
Wengi huwa wanakasirika wasipotongozwa.
 
Mimi naitwa naringa,na mademu wengine wanasema haisimami,kisa na mkasa huwa sina time nao,japo nina Magari tena ya pesa ndefu lakini sitongozi mademu kwa sababu ya magari yangu.
Hiyo kweli samsu . Wao either hao wanawake hufikiri unaringa au hauko mzima endapo hawajatongozwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom