godizila
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 846
- 387
Mi nikajua wewe upon hivo na unapendwaa[emoji17] [emoji18] [emoji18] [emoji3]sijui labda tuwaulize wasio nayo na wanapendwa.
Mi nikajua wewe upon hivo na unapendwaa[emoji17] [emoji18] [emoji18] [emoji3]sijui labda tuwaulize wasio nayo na wanapendwa.
Leo hujapita[emoji1] ??....Kwa sababu wewe ni bingwa JF wa kusema napita!hapo chacha
Kumbe walalahoi pia wanataka pesa??? Duu[emoji27] [emoji27]wapo walalahoi wanajielewa pia!
Mkuu uyo demu naye ana baiskeli[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hata mie mbona nina baiskeli na napendwa na madada kibao kwasababu nina usafiri mzuri
gari langu likifika ndio ntakutafutahao hao wa kwenu washamba wa magari!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] kaa nalo hukohuko!gari langu likifika ndio ntakutafuta
Ndio nalisubir
Hapana cyo usafiri ni gariKwan vitz au morano si usafiri??
Huo moyo ni wa peke yako dunianitunawapenda mlivyo ila kutokujiamini kwenu mwaona yanapendwa magari!
Binti kama tunda eti nimpe lifti tu nisimtongoze...SITAWEZA BANAHivi bado kuna wanaume wa namna hii!!!
Kwanin usimpe lifti na ukaishia kumwona kama dada tu!
Lazima utongoze?
Tuache mawazo ya kimaskini jmn, mpe msichana lifti na usimtongoze alaaa
hao wa hivyo ujue ni wale waliowapanga 10 na Zaidi, ila wanawake wengi naona wanajitahidi na wao kuwa na magari.mmm, labda wewe tu. Lakini walio wengi hata kama una pesa lakini muda wote unaonekana huna gari hata vitz...
Kwahiyo mshagundua type za wanawake ambao mnachukua, ni wale wa std 7 na form 2 wanawapanga hata 20 kwa wakati mmoja wewe unadhani umependewa gari kumbe kitega uchumi.NINI VODACOM, HATA LINA NAMBA ZA SERIKALI ,WAO HAWAONI TOFAUTI.ANAKUULIZA GARI YAKO LEO VIPI UMEIPELEKA SERCISE NINI, MAANA NAPATA TABU YA USAFIRI KWELI
tehe tehe tehe tehe nilishapita, ndio narudi sasaLeo hujapita[emoji1] ??....Kwa sababu wewe ni bingwa JF wa kusema napita!
type ya wanawake anayozungumzia huyu ni ya wale walokata tamaa ya maisha na wengi kutoka uwanja wa fisi, kwa dunia ya sasa anaejitambua huwezi mpata sabab ya gari..GARI? DUH!!!!!Hao na ambao wanalishwa mwanamke mtafutajie hata uje na ndege anaona kama ni baisikeli hana time kabisa
Jamani muonee huruma basiii[emoji3] [emoji3][emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] kaa nalo hukohuko!
nshazoea daladala!