Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Khaa mkuu, yote hiyo ili uwatafune vizuri siyo..!
Nimegundua sitatumia nguvu nyingi kwenye kutongoza... Gari ni kama chambo kwenye ndoano unatega samaki anafuata mwenyewe nakunaswa kilaini... We ni kunywa tu supu ya samaki [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mie bado sijanaswa na gari mie nanaswa na mwanaume mwenye mapenzi ya dhati na anaejitoa kwaajili yangu tuu

Mmm, haya sawa tu na big up kwako lakini ukweli unao mwenyewe
 
Yani ushobokee lift ya mara moja kwa mwezi, siku nyingine zote unashika bomba barabarani mweee. Poleni na nyie wanaume mnaotafuta abiria(gals) wa magari yenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatema big G

kwa Karanga za kuonjeshwa!!

Wanawaonea sana watoto wa shule na wanachuo wenye tamaa!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatema big G

kwa Karanga za kuonjeshwa!!

Wanawaonea sana watoto wa shule na wanachuo wenye tamaa!
yani me nikionaga mwanaume anajisifia anang'oa mademu kisa gari, huwa naumia roho jamani khaaa. Yani nawaombeaga tu kimoyomoyo, kwa sababu tatizo lao ni kubwa kuliko hata hao abiria wao wanaowapata. Yani nasikitikaga mweee
 
yani me nikionaga mwanaume anajisifia anang'oa mademu kisa gari, huwa naumia roho jamani khaaa. Yani nawaombeaga tu kimoyomoyo, kwa sababu tatizo lao ni kubwa kuliko hata hao abiria wao wanaowapata. Yani nasikitikaga mweee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu!

gari ya kuuzia sura!!
uonekane una mwanaume mwny hela!
 
Wahanga wakubwa hapa ni mabinti waliotoka familia duni. Wao wanadhani labda kuwa na mwanauwe mwenye gari basi itasaidia ku-boost personality yao hususani anapowasimulia rafiki zake. Unajua watu waliotoka famia duni hujiona wao duni kwasababu jamii inawaona hivyo pia sasa kwasababu wao ni binadamu basi wanaona pengine kuwa na kijana mwenye gari ndio chaguo sahihi hata kama itakuwa mda mfupi tu. Kingine ni jamiii imeshatengeneza wazo gari ni nembo ya uwezo/pesa/maisha mazuri. Ooooh hawa mabinti lazima wawe confused tu.....wao hawakufundishwa vema huko kwenye family na bahati mbaya kabisa hakuna hata uncle mwenye gari. Hatari sana
Me naona wahanga wakubwa ni masista duu malimbukeni, haijalishi katokea ushuani au umaskinini. Ndo wanajitahidi kutafuta bwana mwenye gari ili awaringishie shost zake. Kwa experience yangu mimi, wengi wanaohangaikaga na kudanga ni mabinti masista duu wanaoendekeza dhiki, na majority wanatoka familia zinazojiweza tu ila ndo wana ile kuendekeza dhiki sana. Ndo wale wanaoforce kuishi maisha ya juu na atafanya lolote lile ili mradi tu apate hela, status iendelee Kusoma, sasa mwenzio anataka kumaintain status wewe mjie na bajaji ukoge matusi.. Wengi wa vijijini wanajali sana utu wao, ukiondoa wale wachache walioingia mjini kwa pupa. Utakuta boys wao ni watu wa kawaida tu, yeye kupanda bajaji anaona tu kawaida
 
hapana mkuu kwanza ni fedhaha kubwa sana kupewa lifti na mwanamke
Umenikumbusha kisa cha leo, kuna mkaka huwa ananitokea ofisini, sasa napopaki gari ni mbali kidogo na ofisi coz hakuna nafasi ndani, ( na wala hata hajui kama nna gari ) Leo nimepishana nae ITV nikamshtua Fulani twende , looh kanipa bonge la sonyoo mpaka nikajisikia vibaya ![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] ( sijui nimekosea wapi)
 
Hiyo inaaply kote. Hata wanaume walio wengi huvutiwa na mwanamke mwenye mafanikio na kati ya alama rahisi zinazoonyesha mafanikio ya mtu ni gari. Kukiwa na wanaume wawili wanaomtaka mwanamke mmoja na kati yao mmoja ana gari na yule mwingine hana, kuna uwezekano mkubwa yule alie na gari akashinda hiyo ligi na iko hivyo hivyo kwa wanawake pia. Mwanamke alie na gari, mrembo, asie na kashfa za kutia kinyaa, ni rahisi kumpata mwanaume endapo atakuwa amedhamiria. Labda kuwe na factors za ziada kama uoga wa mwanaume, kutojiamini n.k maana kwa nchi zetu, gari ni dalili ya unafuu wa maisha na kutokana na umasikini uliowazunguka wengi, mkono mtupu ni vigumu kulambwa labda kuwe na sababu za ziada.
Hapa sizungumzii umarioo au ujasiriakiuno, ni fact tu ya maisha ambayo wengine watapinga ila ukitulia, picha itakujia kwa uwazi na utaelewa kile nachojaribu kukisema hapa.
Ndio maana utasikia kauli kama;mwanamke wake ana gari bwana, mkewe ana pesa ana bonge la gari n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom