Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

kugombania dala dala mjini hapa we ni kazi
Hapa kazi tu; hiyo nayo mojawapo ya kazi vipi sasa unataka pingana na big boss wa tz?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Penda kuwa simple, kutongozea gari ni ulimbukeni tu mwanamke akupende wewe km wewe akija kugundua kuwa una mafanikio inaongeza chachu ya upendo.
 
Mwanaume hata uwe mzuri wa sura kivipi lakini huna gari na vijisenti kidogo mfukoni, hakika utasumbuka sana kutongoza na kukubaliwa kirahisi na mwanamke. Bila kumumunya maneno wala nini, ni ukweli usiofichika kuwa wanawake wengi wamekuwa dhaifu sana punde wakitongozwa ama kufuatwa na mwanaume mwenye gari hata kama sio lake.

Yaani wanawehuka kiasi kuwa warahisi kuwapata kwenda nao kuwabungunyua papuchi. Wengine huwa wanajilengesha wenyewe kwa mbinu zozote wajuazo. Msichana/mdada/sistadu whatever ukimpatia lifti mara kwa mara utakuta kiulaini unaachiwa papuchi mwaa.
Ha ha kuna jamaangu alinambia ukitingoza ukasumbuliwa we Nenda na ndinga tu. 90% ndo mwisho wake. Yaani mwenyewe anakuja
 
Hivi bado kuna wanaume wa namna hii!!!
Kwanin usimpe lifti na ukaishia kumwona kama dada tu!
Lazima utongoze?
Tuache mawazo ya kimaskini jmn, mpe msichana lifti na usimtongoze alaaa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mimi naitwa naringa,na mademu wengine wanasema haisimami,kisa na mkasa huwa sina time nao,japo nina Magari tena ya pesa ndefu lakini sitongozi mademu kwa sababu ya magari yangu.
Hawa ndo zao. Ukiwapoteza utasikia flani bwa bwa[emoji28] [emoji28] . Yaani wao wanataka muda wate uwe bize nao tu
 
Wahanga wakubwa hapa ni mabinti waliotoka familia duni. Wao wanadhani labda kuwa na mwanauwe mwenye gari basi itasaidia ku-boost personality yao hususani anapowasimulia rafiki zake. Unajua watu waliotoka famia duni hujiona wao duni kwasababu jamii inawaona hivyo pia sasa kwasababu wao ni binadamu basi wanaona pengine kuwa na kijana mwenye gari ndio chaguo sahihi hata kama itakuwa mda mfupi tu. Kingine ni jamiii imeshatengeneza wazo gari ni nembo ya uwezo/pesa/maisha mazuri. Ooooh hawa mabinti lazima wawe confused tu.....wao hawakufundishwa vema huko kwenye family na bahati mbaya kabisa hakuna hata uncle mwenye gari. Hatari sana
Na usiombe uwe na mwanamke asiye jiweza kkabisa. Yaani ata ukimpa mtaji anakula. Yeye muda wote anawaza jinsi ya kukuchomoa hela. Wachache sana atakupa mawazo ya kukufanye ujijenge viziri. Na ukimpata anayekushauri vizuri oa fasta kabla hajaingiliwa na mapepo ya bongo mavi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom