Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

HAO WA FORM SEVEN , NA FORM TEN SIJAWAHI KUWASIKIA MALALAMIKO YAO MAANA HAWANA PAHALA PA KWENDA, TUNAZUNGUMZIA NINYI MLIO MAKAZNI (MLIOKUBUHU)
Sisi tuliokubuhu TUNAHONGWA MAGARI AU TUNACHUKUA HATA MIKOPO TUWE NA MAGARI YETU, Hao wanaowashobeka ati kisa Mna magari ni hao ambao walikimbia shule ndo mana hata ukiwa na gari la VODA au TIGO anajua lako, au hata gari ya serikali ashobokea na wengi wa hao huwapanga hata 10 na bado sisemi wa maofisini kama hawawapangi lakini hao unaozungumzia wewe ni uchafu kabsaa.
 
HAO WA FORM SEVEN , NA FORM TEN SIJAWAHI KUWASIKIA MALALAMIKO YAO MAANA HAWANA PAHALA PA KWENDA, TUNAZUNGUMZIA NINYI MLIO MAKAZNI (MLIOKUBUHU)
Na waliokubuhu wengi huangalia na kama unamuelekeo angalau una hata kijikampuni chako au hata kama umeajiriwa una biashara zako, yani uwe umejipanga na sio nyote kusubiri tarehe 30, walo kubuhu level nyengine kabsaa labda kama umeajiriwa unacheo boss flani amazing, SIO UNA GARI MARA SIKU NYENGINE WALIPARK KISA HUNA HELA YA MAFUTA UTAWASUBIRI SANA HUWAPATI.
 
Kuna jamaa ana gari la kunyonyea mavi la manispaa, anawang'oa balaa, mpaka ninaonaga wivu.
 
Mwanaume hata uwe mzuri wa sura kivipi lakini huna gari na vijisenti kidogo mfukoni, hakika utasumbuka sana kutongoza na kukubaliwa kirahisi na mwanamke. Bila kumumunya maneno wala nini, ni ukweli usiofichika kuwa wanawake wengi wamekuwa dhaifu sana punde wakitongozwa ama kufuatwa na mwanaume mwenye gari hata kama sio lake.

Yaani wanawehuka kiasi kuwa warahisi kuwapata kwenda nao kuwabungunyua papuchi. Wengine huwa wanajilengesha wenyewe kwa mbinu zozote wajuazo. Msichana/mdada/sistadu whatever ukimpatia lifti mara kwa mara utakuta kiulaini unaachiwa papuchi mwaa.
Kiongozi nimepitia hii post yako na nimegundua bado una akili za kivulana
 
Na waliokubuhu wengi huangalia na kama unamuelekeo angalau una hata kijikampuni chako au hata kama umeajiriwa una biashara zako, yani uwe umejipanga na sio nyote kusubiri tarehe 30, walo kubuhu level nyengine kabsaa labda kama umeajiriwa unacheo boss flani amazing, SIO UNA GARI MARA SIKU NYENGINE WALIPARK KISA HUNA HELA YA MAFUTA UTAWASUBIRI SANA HUWAPATI.

MIMI KAMA MIMI , WATASUBIRI MPAKA MIGUU IINGIE TUMBONI, SIYO NIWASUBIRI.
 
Yaani tembea kwa miguu na milioni yako mfukoni....na mwenzako atembelee kilikuu tuu... imekula kwako broh...pesa yako utarudi nayo kwa home.....

Na huo ndio ukweli... "Msema kweli ndio mpenzi wa Mungu". Watu watabishaaoo hasa ndugu zetu/wahanga na mambo hayo. Mwanaume hata uwe handsome lakini unatembea kwa mguu kutwa nenda rudi miaka. Nimejifunza wanawake waliowengi wanamadharau sana. Utakuta hata yule mwe gari anapewa shkamooo ili ajisogezesogeze kiaina fulani. Ni hivo tu
 
Yaani tembea kwa miguu na milioni yako mfukoni....na mwenzako atembelee kilikuu tuu... imekula kwako broh...pesa yako utarudi nayo kwa home.....
Sasa kama una uwezo wa kuwa na milioni mfukoni on daily basis kutokuwa na gari si umeamua tu? Kama una hela hio ukiamua huwezi kutembea kwa miguu kuna taxi au car hire, 30-40k per day unapata gari.
 
Sisi tuliokubuhu TUNAHONGWA MAGARI AU TUNACHUKUA HATA MIKOPO TUWE NA MAGARI YETU, Hao wanaowashobeka ati kisa Mna magari ni hao ambao walikimbia shule ndo mana hata ukiwa na gari la VODA au TIGO anajua lako, au hata gari ya serikali ashobokea na wengi wa hao huwapanga hata 10 na bado sisemi wa maofisini kama hawawapangi lakini hao unaozungumzia wewe ni uchafu kabsaa.
Mtu anaeamini gari inampatia wanawake kuna wanawake hawezi kuwasogelea. Sasa una ki vits unaamini ndio kitakupa demu, ukikutana na mwanamke ana vw touareg utamsogelea? Wanawake wengi siku hizi wana magari yao sasa sijui utambabaisha nani na kiusafiri chako.
 
Unaweza kuwa na pesa domo likawa zito kwahiyo Gari linakuokoa. Lakini sisi tuliobobea katika tasnia hiyo hata demu awe mkali vipi ataimbishwa mpaka atatoa .
 
Mtu anaeamini gari inampatia wanawake kuna wanawake hawezi kuwasogelea. Sasa una ki vits unaamini ndio kitakupa demu, ukikutana na mwanamke ana vw touareg utamsogelea? Wanawake wengi siku hizi wana magari yao sasa sijui utambabaisha nani na kiusafiri chako.
Hawa bado wana mawazo ya kale, Asante kwa kuliona hilo.
 
tunawapenda mlivyo ila kutokujiamini kwenu mwaona yanapendwa magari!
washamba wa magari nyie ndio tunawagonga bila magari ila mkiona magari roho zinawaruka nakukataa kwenu ni ngumu
 
NINI VODACOM, HATA LINA NAMBA ZA SERIKALI ,WAO HAWAONI TOFAUTI.ANAKUULIZA GARI YAKO LEO VIPI UMEIPELEKA SERCISE NINI, MAANA NAPATA TABU YA USAFIRI KWELI

Mkuu, siyo STL tuu, hata ukiwa na trekta, kirikuu na Pickup unawabeba, wao mradi tuu uwe na gari.

Ila si wote. Kuna wale wachache ambao hawababaishwi na gari wala pikipiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom