supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Zamani nilikuwa sijui kutongoza, kuna madem niliwakosa kipindi hiko sijui kutongoza. Rafiki yangu alinifundisha ujasiri na kutongoza basi ile mistari nimeikariri kila nikikutana mwanamke namshushia vocal nzima nzima[emoji1] [emoji23]Tongoza tongoza sio ustaarabu
Kwa hasira nilizokuwa nazo kila demu nitakaekutana nae namtongoza na kumsifia hata km simtaki. Sometimes natoswa sometime nawapata lkn hainizuii kutongoza