sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,605
hapana mkuu kwanza ni fedhaha kubwa sana kupewa lifti na mwanamkeahahahahah,na wadada wenye usafiri wao nao hawakimbiliwi na wakaka wasiokua na usafiri?
hapana mkuu kwanza ni fedhaha kubwa sana kupewa lifti na mwanamkeahahahahah,na wadada wenye usafiri wao nao hawakimbiliwi na wakaka wasiokua na usafiri?
Sishobokeagi lifti kabisaUBARIKIWE ILA USIWE MMOJA WAO
akkkaaah!!daladala yatosha!Jamani muonee huruma basiii[emoji3] [emoji3]
wapo wengi tu... unavyojileta ndivyo unavyopokelewa.Huo moyo ni wa peke yako duniani
Hyo BMW M 4 Heshima kwa Mama MkweeAisee aina gani hiyooo
Kimboka ndo wapi mkuu na ipo mkoa gani?Huyo dada anaekupenda kisa gari hana tofauti sana na wale wanaosimama Kimboka.
mbna siku ile tulipanda wote ukashukia mapipa magomenikugombania dala dala mjini hapa we ni kazi
hapo pekundu nimecheka sana kikikikikikikikikikikikikikikikikikikiNINI VODACOM, HATA LINA NAMBA ZA SERIKALI ,WAO HAWAONI TOFAUTI.ANAKUULIZA GARI YAKO LEO VIPI UMEIPELEKA SERCISE NINI, MAANA NAPATA TABU YA USAFIRI KWELI
Baadae kdg nitakupigia simu. Ngoja nikaazime gari kwa mjombamtoa mada umenigusa aisee, mie ninatembea kwa TZ 11 halafu unijie tena na tz11? akhuu mie hata kama kaazima mie poa tu ili mradi anidanganye ni lake.
ila si nimesema anidanganye ni lake? we naweeeeeBaadae kdg nitakupigia simu. Ngoja nikaazime gari kwa mjomba
Nitakudanganya usijali[emoji1] [emoji23]ila si nimesema anidanganye ni lake? we naweeeee
Ha ha ha huyu hakufai hata kadanganywa tabuila si nimesema anidanganye ni lake? we naweeeee
hahahahahaha sasa ushakosea bhana umeniambia ukweli hainogiNitakudanganya usijali[emoji1] [emoji23]