godizila
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 846
- 387
Mnatupenda ila kuwa tuna vitu vizuri mnatupenda zaidiii eee[emoji3] [emoji3]tunawapenda mlivyo ila kutokujiamini kwenu mwaona yanapendwa magari!
Mnatupenda ila kuwa tuna vitu vizuri mnatupenda zaidiii eee[emoji3] [emoji3]tunawapenda mlivyo ila kutokujiamini kwenu mwaona yanapendwa magari!
Kweli kakaaa[emoji3] [emoji3]Aisee kwa hilo kidogo naunga mkono wadada wengi hata mimi nikiwapaga lift siku mbili, 3, week 1tyu ijayo najilia papuchi tena naletewa kabisa weekend kisa ndinga
Mnatupenda ila kuwa tuna vitu vizuri mnatupenda zaidiii eee[emoji3] [emoji3]
Mimi kwangu haipo nampenda MTU kwa kipato chake tuuu.....na natafuta pesa ili niitunze familia yangu vizuriii....thus mapenz pasipo pesa utaishijeee????ahahahahah,na wadada wenye usafiri wao nao hawakimbiliwi na wakaka wasiokua na usafiri?
tehe tehe tehe tehe wameyaonea utu uzimanihao hao wa kwenu washamba wa magari!
Mwanaume hata uwe mzuri wa sura kivipi lakini huna gari na vijisenti kidogo mfukoni, hakika utasumbuka sana kutongoza na kukubaliwa kirahisi na mwanamke. Bila kumumunya maneno wala nini, ni ukweli usiofichika kuwa wanawake wengi wamekuwa dhaifu sana punde wakitongozwa ama kufuatwa na mwanaume mwenye gari hata kama sio lake. Yaani wanaheuka kiasi kuwa warahisi kuwapata kwenda nao kuwabungunyua papuchi. Wengine huwa wanajilengesha wenyewe kwa mbinu zozote wajuazo. Msichana/mdada/sistadu whatever ukimpatia lifti mara kwa mara utakuta kiulaini unaachiwa papuchi mwaaa.
Kwan vitz au morano si usafiri??masikini gari lenyewe vits????
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]ni kweli hata akiona mwanamme anaendesha gari ubavuni imeandikwa VODACOM bado utamsikia "shoga nimepata bwana, ana usafiri wake"
Ewaaaa, wewe unajielewatunawapenda mlivyo ila kutokujiamini kwenu mwaona yanapendwa magari!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe ya kampuni.
Umeona eeh!tehe tehe tehe tehe wameyaonea utu uzimani
Yaaa cha msingi usafiri tuuuuu[emoji3] [emoji3]Wao ni bora gari ni kukubali tu.
Kusave muhimuNdo maana mi nimeshaanza kusave pesa za kununulia gari
ahahahahah,na wadada wenye usafiri wao nao hawakimbiliwi na wakaka wasiokua na usafiri?
Uyo anataka wakali wakat mim yeyote yuleeee[emoji18] [emoji18]Khaa mkuu, yote hiyo ili uwatafune vizuri siyo..!
hapo chachaUmeona eeh!
nishobokee gari?!!!
langu au?
Inategemea na demu alipotoka kama wakshua humpati we we kama ni mlalahoiii[emoji18] [emoji3]hao hao wa kwenu washamba wa magari!
wapo walalahoi wanajielewa pia!Inategemea na demu alipotoka kama wakshua humpati we we kama ni mlalahoiii[emoji18] [emoji3]
Exactly but in million you found only one girl[emoji3] [emoji3]Hao na ambao wanalishwa mwanamke mtafutajie hata uje na ndege anaona kama ni baisikeli hana time kabisa