Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kweli mwanaume ukiwa na gari utawanasa wadada wengi

Kwahiyo mshagundua type za wanawake ambao mnachukua, ni wale wa std 7 na form 2 wanawapanga hata 20 kwa wakati mmoja wewe unadhani umependewa gari kumbe kitega uchumi.

HAO WA FORM SEVEN , NA FORM TEN SIJAWAHI KUWASIKIA MALALAMIKO YAO MAANA HAWANA PAHALA PA KWENDA, TUNAZUNGUMZIA NINYI MLIO MAKAZNI (MLIOKUBUHU)
 
ni kweli hata akiona mwanamme anaendesha gari ubavuni imeandikwa VODACOM bado utamsikia "shoga nimepata bwana, ana usafiri wake"
Wewe kaka hapana khaaa!!!!
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwakweli mimi gari halinizuzui along as Naweza afford pesa ya nauli sizuzuki.
 
Wahanga wakubwa hapa ni mabinti waliotoka familia duni. Wao wanadhani labda kuwa na mwanauwe mwenye gari basi itasaidia ku-boost personality yao hususani anapowasimulia rafiki zake. Unajua watu waliotoka famia duni hujiona wao duni kwasababu jamii inawaona hivyo pia sasa kwasababu wao ni binadamu basi wanaona pengine kuwa na kijana mwenye gari ndio chaguo sahihi hata kama itakuwa mda mfupi tu. Kingine ni jamiii imeshatengeneza wazo gari ni nembo ya uwezo/pesa/maisha mazuri. Ooooh hawa mabinti lazima wawe confused tu.....wao hawakufundishwa vema huko kwenye family na bahati mbaya kabisa hakuna hata uncle mwenye gari. Hatari sana
Asante mkuu na mim nawataka hao watakuwa na mapenzi ya dhat[emoji120]
 
Hahahahaaha
Daah!
Gari yangu ifike tu nami nithibitishe
 
Mimi naitwa naringa,na mademu wengine wanasema haisimami,kisa na mkasa huwa sina time nao,japo nina Magari tena ya pesa ndefu lakini sitongozi mademu kwa sababu ya magari yangu.
noted
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom