Kweli Mungu hana upendeleo?

πŸ€πŸ™Œ
 
πŸ€πŸ™Œ
So ni issues tu ya Theology

Ndani ya elimu ya Theology Kuna Kila Aina ya utapeli wa kiimani na wachungaji wengi pia lazima wasomee hayo ,

So anacho kifanya mtu kama mwamposa hakina tofauti na walicho kuwa wana kifanya hao kina Muhammad na yesu wote walikuwa wana watapeli watu , sema wao wakifanikiwa kuunganisha dini na serikali zao , so issue yoyote ikisha tungiwa

sheria na ikaingizwa ktk mtaala wa elimu na kuundiwa sera Baada ya muda watu wote lazima mtaifuta , mfano mdogo ni wakati wa Nyerere alikuwa ame create propaganda kwamba iddy amini Huwa ana kula nyama za watu na wananchi wengi kweli walikuwa wana amini ,

Katika maisha ogopa sana psychology weapon ni kitu kibaya sana , Dini siasa na vyama vyote vya michezo + wafanya biashara wakubwa duniani hiyo ndio silaha yao
 
Natamani ningesoma ila ndio hivyo darasa la 7
Ila si haba naendelea kujifunza
🀝
 
Huamini?
Ni kweli nimeisha la 7
Kama ningesoma kufika secondary &Chuo aisee najiona ningekua mtu tofautiπŸ‘Œ
 
Mimi mwenyewe natamani kwenda kupiga hiyo degree ya Theology natamani sana kuwageuza watu mandezi 😁
Wewe nafasi baado unayo degree wanasoma hadi wazee
Sasa mimi nianzie secondary then chuo, πŸ™ŒπŸ˜
 
Mkuu unazunguka sana,
Mbali na kutumia AI,
Bado hujajibu swali zaidi ya maelezo yasiyo na tija.

Nauliza tena:
Akili ya kufanya ubaya, Shetani aliitoa wapi?

Je, tumlaumu shetani kwa kuchagua ubaya, au tumlaumu Mungu kwa kumpa shetani akili ya kufanya ubaya?
 
Acha tumlaumu Shetani
 
Kiarabu lugha ya peponi , Tender tunda la peponi mzaituni tunda la peponi Ngamia mnyama wa peponi,
Wewe nani kakuambia kiarabu ni lugha ya peponi au umejuaje?
Unamaanisha nini kusema ngamia ni mnyama wa peponi na tende ni tunda la peponi?
 
Kama Mungu alimpa Shetani uhuru wa kuchagua kati ya wema na ubaya, kisha shetani yeye akajichagulia ubaya,
Sasa kwanini aadhibiwe ikiwa alipewa uhuru wa kuchagua?

Je, huo ni uhuru au ni kulazimishwa kuchagua wema?

Mfano: Nikikwambia nakupa offer uchague kati ya kahawa na chai, kisha nikakwambia ukichagua chai nitakukata mshahara,
Je, hapo nimekupa uhuru wa kuchagua au nimekulazimisha kuchagua kahawa ili usikatwe mshahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…