hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,574
- 73,884
Kmmk 🤣Atakuja infroprenuer muda si mrefu amchanganye akili 😁
.atajua Hajui
Kmmk 🤣Atakuja infroprenuer muda si mrefu amchanganye akili 😁
😄😄Niko likizo😎
Kwahiyo hizo bible na qu'an ni adisi za abunuasi 😂😂
Alamua kufanya Israel kua taifa sijui teule😁 oooh, ukiilani Israel umelaaniwa🙌Ana upendeleo
Tena hiyo bibilia ina nafuuNdio maana yake
Mungu ni utapeliMwingi wa rehema mwingi wa huruma ?
Sasa mbona watu wanakula msoto wa magonjwa umasikini mpka wanatapeliwa na kina mwamposa kutumia jina lake na amekaa kimya?
Wote wezi 😄🤣🤣 Kuna Moja hiyo katika Qur'an Kuna nabii anaitwa sijui swalehe aligeuza mwamba wa jiwe kuwa ngami 🙌🙌😄Tena hiyo bibilia ina nafuu
Qur'an uwiii🙌
😄Hicho kitabu ukisoma bila stimu za banki au tunki unaweza usikielewe kabisaaaaaaa
Indeed 🎯Mungu wa hizi dini anao upendeleo hili wala halihitaji akili nyingi kulijua, ndiomaana kuna wahuni pamoja na makandokando yao hutowai kuona wakiteseka, ila kuna wewe apo mateso ni sehemu ya maisha yako, pia kuna watoto wadogo wasiojua lolote ovu lkn mabaya yanawakuta, kuna wale wanakesha kumuomba huyo Mungu usiku na mchana lkn mabaya yamekuwa sehemu ya maisha yao
Kiufupi Mungu wa hizi dini anaenjoy sana kuona watu wakiteseka, kuna muda anashirikiana na kijana wake shetani kuwahujumu wanadamu kwa mitego na mapito magumu ili waanguke apate sababu ya kuwahukumu.
Mungu wa dini hatabiriki, kwenye vitabu vyake anasema hili na kiuhalisia anatenda tofauti kabisa, yaani hana mazoea wala ushikaji na kiumbe chochote kiitwacho binadamu.
Mungu wa ukristo na uislamu ni mzushi kaundwa na wazungu/waarabu kwa madhumuni ya kuharibu fikra za watu watawalike kiwepesi (Allah& Yehova/yesu hawa ni viumbe wa kusadikika tu hawapo na hawatowai kuwepo)
Mungu ni utapeli
Kazi kweli kweli mwalimu wangu wa madrassa ,alikua ananichukia nikimuhoji kama kuna ulazima tukariri Qur'an kwa kiarabu badala ya kiswahili na kuniita mjuajiMungu ni utapeli
Noma 🔥😁Ngoja nikuongezee maswali mengine ili ufikiri zaidi.
Kama Mungu ni mjuzi wa yote, anajua mwanzo, kati na mwisho:
Je, Alijua mpema kuwa shetani ataasi na kusababisha mateso makubwa lakini akaamua kumuumba hivyohivyo?
Je, hii inamaanisha mateso ni sehemu ya mpango wake?
Je, Alijua kuwa Adam atakula tunda hata kabla hajaanza kuumba kitu chochote?
Je, Anajua alikotokea? Wapi?
Je, Anajua fulani ataenda motoni hata kabla huyo fulani hajazaliwa?
Na kama ana upendo, kwanini alimuumba shetani huku anajua atasababisha mateso makubwa?
Na kama ni wa haki, kwanini asingemuumba shetani kabisa?
Na kwanini atachoma moto watu kwa kosa lake mwenyewe la kumuumba shetani?
Unajua sasa faidi za kuhifadhi maandiko kwenye lugha ya asili kuliko lugha nyingine?Kazi kweli kweli mwalimu wangu wa madrassa ,alikua ananichukia nikimuhoji kama kuna ulazima tukariri Qur'an kwa kiarabu badala ya kiswahili na kuniita mjuaji
Karibu kundiniHata mimi naona hivyo
Nipe faida yakeUnajua sasa faidi za kuhifadhi maandiko kwenye lugha ya asili kuliko lugha nyingine?
Mimi nimekulia katika dini Tena ile kindaki ndaki but baada ya kuwa mtu mzima Kila nikifanya reason naona kabisa huyu mungu ni uongo ( Utapeli )Kazi kweli kweli mwalimu wangu wa madrassa ,alikua ananichukia nikimuhoji kama kuna ulazima tukariri Qur'an kwa kiarabu badala ya kiswahili na kuniita mjuaji
Asante mkuuKaribu kundini
Nipe faida yake
Yaani ni hatari sanaMimi nimekulia katika dini Tena ile kindaki ndaki but baada ya kuwa mtu mzima Kila nikifanya reason naona kabisa huyu mungu ni uongo ( Utapeli )
Yaani ni hatari sana
Kiarabu lugha ya peponi , Tender tunda la peponi mzaituni tunda la peponi Ngamia mnyama wa peponi, Automatically ukishaambiwa hivyo if Hauna Akili timamu lazima Uwe brainwashed taratibu utaanza kulidharau fenesi na kuyatukuza mazao ya Waarabu,Yaani ni hatari sana