Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

Katika maongezi yake hayo atawafikia watanzania wangapi ambao ni wapiga kura? Achana na wale wa mitandaoni wengine wakiwa inje ya nchi.

Kwa ujumla hakuna jipya hapo na wala haisaidii chochote kwenye uchaguzi mkuu.

Aliyekwambia Kuna jipya na nani?Aliyekwambia ni kampeni za Urais nani?
Umejiuliza Kwanini ahutubie pia kwa lugha ya kiingereza?
 
Ni kweli hutompa kura,Wewe na CCM wote.Na Urais hatopata kama ambavyo unafikiria.Hii pia ni furaha na shangwe kwako na ndugu zako,lakini haiondoi ukweli kuwa CCM inanuka damu ya mtu huyu
La damu na risasi na sympathize naye. Ila huruma haitakuwa na gharama ya kumkabidhi nchi.
 
Nimesoma nikijaribu Kuelewa nini maana ya TAL. Nikawa na hisia. Baadaye nikaanza kuhisi umri wako na kiwango cha uelewa wako. Kwa ufupi wewe ni kijana wa miaka kati ya 23 - 25. Tatizo ni uelewa wako uko chini ya umri wako. Ulitakiwa uwe na uelewa zaidi ya hapo. Bado unaamini ukipiga kelele sana, Ukaongea kiswahili na kiingereza nje wakakusikia, hatimaye unapata kura za wa-TZ? Huo si ujinga? Au unaona kuna mtaji ndani yake?

Nakupa ushauri. Jitahidi kujisomea vitabu vya maana, magazeti ya maana na usikilize taarifa za maana kwenye redio na TV. Achana na kukariri majina ya wachezaji mpira. Hawana lolote ktk ubongo wako.

La damu na risasi na sympathize naye. Ila huruma haitakuwa na gharama ya kumkabidhi nchi.

Tangu lini Tanzania wanainchi wakawa na uwezo wa kumkabidhi nje Rais?
 
La damu na risasi na sympathize naye. Ila huruma haitakuwa na gharama ya kumkabidhi nchi.
Hawa watu hawajui kwamba kila mtu na kila mnyama kuna kazi inayomfaa. Wanaofaa kushangilia siyo lazima wafae kucheza uwanjani. Mpiga kelele ktk siasa siyo lazima afae kutawala. Kwa ujumla ndugu yetu hafai, ila tunaomba aendelee kupiga kelele.
 
Hizo ni ngonjera tu
Atabaki kuwa rais wa mitandaoni
Amezubguka huko Ulaya na USA , ziara zake zimemsaidia nini
Kama huwezi kuelewa repercussions zilizo sababishwa na ziara za Lissu Ulaya na Marekani basi wewe ni mbumbumbu tena wa level ya chini mno.
Umeona jinsi sasa hivi jumuia ya Ulaya, WB na IMF inavyo tu scrutinize kwa kila jambo? Tukiomba pesa jicho ni kali mno, misaada sasa hivi tunachambuliwa mno na kila jambo ikiwemo uchaguzi unaokuja matamko ya kutuonya kuhusu haki yanatolewa.
Hivyo ni ujinga kudhani ziara za Lissu hazikuzaa matunda
 
Inasemekana Musiba anaongea kabla ya TAL leo ili kuonesha namna ambavo TAL anatumika na mabeberu. Na amepewa nafasi na baadhi ya vyombo vya habari!
Sasa ndio unapogundua kuwa CCM imelinajisi taifa hili lililokuwa na watu statesman kama kina Nyerere, Salim, Malecela, Kambona, Sokoine, Ulimwengu, Kikwete, Kingunge nk nk hadi kuanguka na kufikia watu kama Musiba, Lusinde, Musukuma nk ndio wanategemewa kuisemea serikali ya CCM inapobanwa kwa hoja.
Hii kama sio laana ni nini?
 
Tatizo kubwa ni kuwa tukijadili mambo ya kitaifa kuna watu wanawaza mambo ya Chama na kumuangalia mtu individually.Ili kujua kama huyu anaweza kuwa game changer tafuta clips za michango yake bungeni na fuatilia proceedings za kesi ambazo amekuwa wakili.Shida kubwa ya sisi watanzania ni kuwa na malengo ya muda mfupi mno na mara nyingi ni miaka mitano ili tushinde tena uchaguzi,kwa hakika hatuna vision,hatujui Taifa letu tunataka liwe wapi afater 25 years.Hata kama kuna maandishi ya namna hiyo bado hatufuati huo muongozo.Nakupa mfano,yote yanayofanyika leo yalishawahi kufanyika miaka ya nyuma chini ya TANU na CCM hii hii.Mwalimu Nyerere alitaifisha njia kuu za uchumi na tukapewa sisi(mashamba makubwa,viwanda,mabenki n.k) nini kilitokea?Tulilumbana mno na mashirika ya fedha ya Kimataifa,mwisho wake ulikuwa nini?Tulifanya operation za uhujumu uchumi ambapo ilifikia hatua watu wakatupa pesa na watu waliwekwa rumande kabla hata ya sheria kutungwa,ni kipi kilitokea afterwards?Tungekuwa na vision tungetumia makosa ya nyuma na kujenga mifumo imara ambayo ingetupeleka mbele lakini leo tunarudia pale pale (TAKUKURU kamata,peleka mahakamani lakini nani anawaza kuhusu vyanzo vya rushwa,kwa nini rushwa iendelee,nini kimekosekana?)Nimekupa mifano hii ili kukujulisha ya kuwa kwa mtu anayejua kujenga hoja kuna mapengo mengi ambayo akiyatumia anaweza akabadili upepo asubuhi.Hili lilitokea 1995,kivumbi cha Lyatonga.Juzi hapa mgonjwa,anayetetemeka,anayepoteza kumbukumbu alileta kizazaa kikubwa.Tunachambua mambo tukiangalia mustakabali wa nchi na si mtu.
Hana sifa ya kuwa rais sababu hana busara. Ameshatukana tukana watu laivu na kuwaita majina na maneno mabaya. Hana busara na ana mihemko, kwenye kufanya maamuzi atakurupuka. Urais sio kuongoza kikundi cha watu, ni nchi...
 
Yeye aongee tu ni haki yake. Lakini kwa kura HAPATI hatuwezi kumpa afufue kesi na MIGA labda atuweke sawa hapo
Hutampa wewe mimi nitampa na família yangu watampa na wengi kutoka lumumba watampa labda mtumie nguvu za dola maana ndilo mnaloweza.
 
Kama huwezi kuelewa repercussions zilizo sababishwa na ziara za Lissu Ulaya na Marekani basi wewe ni mbumbumbu tena wa level ya chini mno.
Umeona jinsi sasa hivi jumuia ya Ulaya, WB na IMF inavyo tu scrutinize kwa kila jambo? Tukiomba pesa jicho ni kali mno, misaada sasa hivi tunachambuliwa mno na kila jambo ikiwemo uchaguzi unaokuja matamko ya kutuonya kuhusu haki yanatolewa.
Hivyo ni ujinga kudhani ziara za Lissu hazikuzaa matunda
Matamko ya mabeberu yalianza long time wakati wa Nyerere
Ni ujuha kuendelea kuwa na mawazo ya kupata msaada bila kufikiria kujitegemea
 
Sijazungumzia kuwa Rais lkn uwezo wa kubadili upepo
Hana sifa ya kuwa rais sababu hana busara. Ameshatukana tukana watu laivu na kuwaita majina na maneno mabaya. Hana busara na ana mihemko, kwenye kufanya maamuzi atakurupuka. Urais sio kuongoza kikundi cha watu, ni nchi...
 
Hiyo busara leo ipo?Kumuita mtu pumbavu aliyekuzidi umri vipi?Mnarusha mawe wakati mpo kwenye vioo!Myopic
Hana sifa ya kuwa rais sababu hana busara. Ameshatukana tukana watu laivu na kuwaita majina na maneno mabaya. Hana busara na ana mihemko, kwenye kufanya maamuzi atakurupuka. Urais sio kuongoza kikundi cha watu, ni nchi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom