Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,192
- 10,491
Sawa hawa akina Kashindiko na wenzake ndio wamenituma niandikeOngelea nafsi yako mkuu yangu niachie niamue mwenyewe.
Tumia dole lako kwa huru mkuu
Sawa hawa akina Kashindiko na wenzake ndio wamenituma niandikeOngelea nafsi yako mkuu yangu niachie niamue mwenyewe.
Hivi huyu bado ana impact? Archive at work
atakuja kugombea uraisi?Hajawahi kuongelea Urais wake utakuwaje! Najua utamfahamu kesho!
atakuja kugombea uraisi?
Naunga mkono hoja, madaraja hayametunyima nyongeza ya mishahara.Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Nimesoma nikijaribu Kuelewa nini maana ya TAL. Nikawa na hisia. Baadaye nikaanza kuhisi umri wako na kiwango cha uelewa wako. Kwa ufupi wewe ni kijana wa miaka kati ya 23 - 25. Tatizo ni uelewa wako uko chini ya umri wako. Ulitakiwa uwe na uelewa zaidi ya hapo. Bado unaamini ukipiga kelele sana, Ukaongea kiswahili na kiingereza nje wakakusikia, hatimaye unapata kura za wa-TZ? Huo si ujinga? Au unaona kuna mtaji ndani yake?Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.
Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
ok, tusubiri kesho tumsikie anasemaje.Mabeberu watakuwa wanamsindikiza kwa mbaali na wapelelezi wao
This time akiumizwa nakuambia yale ya Idd Amin Dada na Waesrael yanaweza tokea
Au wamarekani na osama pakistan
Au wamarekani na Saddam Hussain
Au kulee libya ya Muamal Ghadaf
Lolote lakustajabisha laweza kutokea kwa mabeberu.
Mkuu umeandika na umefikilia nje ya boxBila kukubeza, jaribu kufanya hesabu ndogo ya kichwa - ni wangapi wata ona ubinadamu unaousemea na kulinganisha na miundo mbinu iliyo tengeneza halafu wachague Lissu kwa ubinadamu! Nafikiri watakuwa wachache sana.
Ila tusubiri tusikie atatupa nini.
Ila namshauri apunguze jazba, aongee kama anatupenda. Analipenda taifa nasi tunampenda. Lakini akivutia kwa mabeberu yatamshinda kabla haja anza
Na hayo ndio matunda ya JPM umeweza kumuonyesha bibi yako had video kutokana na njia za mawasiliano kufunguka had kwenu. Tofaut na miaka mitano iliyopita. Hongera kwa kujua mchango wa mzee wetu magu. Subir uo uchaguzi mgumu uoneHuko huko aliko lakini hata kwetu Idukilo, Kishapu, Shinyanga tutamsikia kaka. Usifikiri kuwa jamii yetu bado ipo kwenye remote area kama miaka mitano iliyopita. Kwa sasa ni mawasiliano yanafika kwingi sana. Hata bibi yangu juzi kaoneshwa clip ya George Floyd amewekewa goti huku huku Idukilo na bibi akaumia sana. Fikir nje ya box cop!
Apati hata robo ya kura yule bwana mkubwa elewa sio unawaza kwa hisia zako, waza kwa ubongo wako jiwe atashinda kwa kura za kutosha tuu. Endelea kusubir ndege bandariniMkuu umeandika na umefikilia nje ya box
sisi wengine tunasubili sheria ya Mgombea
binafsi hatuna vyama but sio kigezo cha
Kutoipenda nchi yangu na hatuna chuki
na Chama chochote ,sisi tunataka hukija
kwetu basi uje na hoja za msingi tukupime
na tukupe kura ,na sisi so lazima Chama
kimoja kipate kura zote kuanzia Diwani mpaka rais big no,labda itokee wrote walio
Simama tunawaelewa madin yao ,
Na tuko wengi asikudanganye MTU
Sasa kwa hoja hii ,nilisha sema na narudia
Chama dola kijipange uchaguzi wa mwaka
huu ,lissu anajua akifanyacho ila mkimzalau bila kutokua na mikakati mizuri
Mtakipata cha mtema kuni mapema
kama sio kesho yake .
ANGALIZO
Sisemi hivi kwamba naombea Ccm ishinde
No,hata CHADEMA Ongeza mikakati
ya kuchukua dola binafsi chochote Chama
kitakacho shinda is OK maana kila Chama
cha siasa lengo kuu nikuleta maendeleo
kwa wananchi so I don't care even if
Is CHAUMA,all the best
Mtaziweka humu nyie wenyewe mie sina huo muda mchafu. Nikiingia humu kesho nitakuta mmeziweka wenyewe...Utazitafuta mwenyewe kwa husuda zako
bafuni kwakeAnaongelea wapi?
Mtaziweka humu nyie wenyewe mie sina huo muda mchafu. Nikiingia humu kesho nitakuta mmeziweka wenyewe...
Huyo akiachiwa tumpigie kura bila hujuma
Ccm mkipata 10% mkatambike.
Ni hujuma pekee ndio inakufanya useme hana impact.