Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Kuna uwezekanao wa upepo kubadilika kwa kasi sana.TAL anajenga hoja kwa ushahidi (pamoja na wakati mwingine kutumia maneno ya kukera).Jambo la pili ana ujasiri fulani amabo wanasiasa wengine wa upinzani hawana (hata Mbowe hana).Upepo unaweza kubadilishwa tena na huyu aliyegoma kuomba msamaha.Atabadili upepo akiwa ndani ya CCM au nje hatujui.La tatu ni haya yanayoendelea Twittani,si ya kupuuza.Vyombo vikuu vya maamuzi vya nchi visiachie hali ifike mbali,maridhiano kwa mustakabali mwema wa Taifa ni muhimu kuliko mtu mmoja kushinda kwa 99.9%
 
Bila kukubeza, jaribu kufanya hesabu ndogo ya kichwa - ni wangapi wata ona ubinadamu unaousemea na kulinganisha na miundo mbinu iliyo tengeneza halafu wachague Lissu kwa ubinadamu! Nafikiri watakuwa wachache sana.
Ila tusubiri tusikie atatupa nini.
Ila namshauri apunguze jazba, aongee kama anatupenda. Analipenda taifa nasi tunampenda. Lakini akivutia kwa mabeberu yatamshinda kabla haja anza
Umenena mkuu! Ila hivi nisaidie kujibu hili - mie kwetu Idukolo - sasa kuvaa navaa vizuri hata nguo za Ulaya, hapa nipo na internet, nina simu naongea na hata waliyo Ulaya, yaani kila kitu nakipata huku huku Idukilo tena hata kabla JPM hajawa madarakani, sasa unavyoniambia miundo mbin - yaani hizo fly ova za Dar ambazo hata juzi nilivyokuja Dar sikupita juu yake zinasaidia nini mimi ukilinganisha na wewe kukosa ubinadamu wako na kutojali uhai wa watu wako hao ambao unawajengea hiyo midaraja na mibarabara ambayo tayari ilishakuwepo?
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Leo ujaweka namba.Mshughulikieni huko kwanza Kisha mmlete kwa wananchi wamshughulikie pia
 
Unataka kusemaje?
 
Local TV zetu ni ipi itakuwa hewani na saa ngapi! Ili tuanze kupima hazina za taifa hili ili tusonge mbele. Maendeleo hayana chama!
 
Bila kukubeza, jaribu kufanya hesabu ndogo ya kichwa - ni wangapi wata ona ubinadamu unaousemea na kulinganisha na miundo mbinu iliyo tengeneza halafu wachague Lissu kwa ubinadamu! Nafikiri watakuwa wachache sana.
Ila tusubiri tusikie atatupa nini.
Ila namshauri apunguze jazba, aongee kama anatupenda. Analipenda taifa nasi tunampenda. Lakini akivutia kwa mabeberu yatamshinda kabla haja anza
Tafakari kidogo tu.Miundombinu aliyojenga Gadaff na miundo mbinu yetu.Miundo mbinu aliyojenga Hitler akiwa kiongozi wa Ujerumani.Maendeleo ya vitu bila Demokracy yana maisha mafupi sana.Urusi ina collapse kidogo kidogo,eastern europe imekwisha.Tafakari kidogo tu.
 
Mkumbushie ya Marekani state of affairs ilivyo kwa sasa baada ya tukio la George Floyd!
 
Mtanipa feedback hapa jf, sina muda wa kumsikilizia laivu.
Alichoongea bbc na voa na kwa diaspora ndicho ataongea kutafuta huruma.
Unajidai huna habari but ukweli unaisubiri kesho kwa hamu
 
Utabiri ushaanza... Mijadala kila kona hata kabla ya hotuba... Kila kitu na wakati wake kwakweli... Sijaona kabisa mijadala ya kanisani leo....
Kwa jirani nako kuko kimya kuliko kawaida.. Naambiwa kunafuka moshiView attachment 1471221

Jr[emoji769]
Hizo ni ngonjera tu
Atabaki kuwa rais wa mitandaoni
Amezubguka huko Ulaya na USA , ziara zake zimemsaidia nini
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Alifanya ziara nchini uingereza na Marekani akapata airtime na BBC, CNN na kadhalika Kama mabeberu hawakumuelewa kipindi kile kipi kitasababisha wamuelewe sasa?

By the way si busara kubishana na mgonjwa
 
Sema kura yako ndio hapati lkn usiwasemee wengine.
Nimesema kwa niaba hawa jamaa watano ambao tuko hapa kijiweni Kazilampanda hawana simu janja na wamenituma niandike. Kama vipi nikuwepe uongee nao
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.

Hivi huyu bado ana impact? Archive at work
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom