Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

Ujumbe umfikie kuwa kwa sasa watanzania tumeridhika na uongozi wa Mh. RAIS na mwezi wa kumi ataapishwa kama rahisi kwa awamu nyingine tena...
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Bahati mbaya kila mara mnatabiri na halijawahi kutokea lolote. Inaonekana mnaliwa sana kwenye kubet.
 
Ujumbe umfikie kuwa kwa sasa watanzania tumeridhika na uongozi wa Mh. RAIS na mwezi wa kumi ataapishwa kama rahisi kwa awamu nyingine tena...

Usiseme WATZ wameridhika na Mh. RAIS..,sema WANACCM ndo wameridhika na Utawala, not all Tanzanians!
 
Mkuu acha masihara basi,yaani JPM ampe ulinzi huyu jamaa mwenye limdomo lipana linalolopoka ovyo,,eti amwambie aje nyumbani kwani huko alikoenda alipelekwa na JPM ?
# I hate Lissu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nakuombea kwa Mungu either wewe, au mkeo/mumeo/ mtoto wako au mzazi wako, aje acharazwe risasi na watu au majambazi, na hao majambazi wasikae washikwe.
 
Mwenyekiti wetu ameishiwa pumzi, sasa ni zamu ya Membe kutuwakilisha
 
Attachments

  • ccm.jpg
    ccm.jpg
    105.2 KB · Views: 2
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Le mutuz na cyprian Musiba jana usiku walikuwa wakipanga Bajeti wakachukue CCM kwa ajili ya kuwalipa waganga wa kienyeji, Yaani wanaamini waganga wa kienyeji wataweza kumfanya Tundu lisu asahau kivisema vingi atashikwa na kigugumizi
 
Kitendo cha Rais Magufuli kutolaani jaribio la kumuua Lisu kinafanya wote tudhani alibariki yeye mpango wa kumuua Lisu. Hilo halisameheki na Mungu akijalia watawala wa sasa wakapoteza uchaguzi basi itabidi Rais na wenzake wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
 
Tundu Lissu hana jipya,yote ameshamaliza,hakuna alichoacha,yote amewaandikia nchi za magharibi
Mungu fundi sana,corona imewapiga wameacha kwanza masuala ya Lissu
 
Nimesoma nikijaribu Kuelewa nini maana ya TAL. Nikawa na hisia. Baadaye nikaanza kuhisi umri wako na kiwango cha uelewa wako. Kwa ufupi wewe ni kijana wa miaka kati ya 23 - 25. Tatizo ni uelewa wako uko chini ya umri wako. Ulitakiwa uwe na uelewa zaidi ya hapo. Bado unaamini ukipiga kelele sana, Ukaongea kiswahili na kiingereza nje wakakusikia, hatimaye unapata kura za wa-TZ? Huo si ujinga? Au unaona kuna mtaji ndani yake?

Nakupa ushauri. Jitahidi kujisomea vitabu vya maana, magazeti ya maana na usikilize taarifa za maana kwenye redio na TV. Achana na kukariri majina ya wachezaji mpira. Hawana lolote ktk ubongo wako.
Mpaka umenisoma na kujaribu kunielewa na tena kutumia muda wako kunijibu - sijui unajitafakari vipi kufanya yote hayo?
 
Tila-lila2,
Umeona mbali sana. You've got it coming all the way from TAL in Europe. CCM na Mwenyekiti wenu mlisha likoroga kesho mtalinywa!!

TAL, Mwanasheria msomi, makini na asiyeyumba kesho ataIshangaza dunia, Tanzania na CCM kwa ujumla
Is it a coincidence or calculated events? George Floyd killing by Policeman in USA last week and Tundu Lissu attack by unknown gunmen September 2018 in an attempt to kill him?Nina hakika TAL anakwenda kuunganisha tukio la kuuawa kwa George Floyd na Polisi na jaribio la kumwua Tundu Lissu.....!!!
Ongeza bundle and Stay tuned.....yajayo yanafurahisha 🤣
Ujinga wa Tundu Lissu ni kwamba hajui timing! Anataka kuongea wakati mabwana zake wana hali mbaya, kutokana na maandamano ya kifo cha George Floyd na gonjwa la Corona!
Huko hakuna atakaye msikiliza. Na kumbuka kingereza chake, kinaudhi na kuchosha kusikiliza hasa kwa wale ambao English is their first language!
Kama angekuwa makini ange tumia Kiswahili tu.
 
Tawala karibu zote kuna namna hufanyika mambo haya tukifungua mafaili ya JKN alafu AHM tuje mbabe BWM kisha mcheshi asiyeeleweka JMK utagundua pengine bora JJPM.
Nisahihi kupinga lakini dunia inajua hats huko ulaya wanafanya haya especially miaka hiyo wakitafuta kujijenga kiuchumi. Muhimu ni wapinzani wabadili aina ya siasa zao waache matusi na kashfa,tusiige majuu wao wakombali... Ukimtusi sana raid unafanya ashindwe kuwa makini na kuheshimika ktk kusimamia watu. Haifai kumwita kiongozi mkuu wa nchi eti uchwara haya akikosea kesho atawezaje kuwashurutisha mawaziri maprofesa kama were na kamastaz tuu unamtusi hivyo? Tujifunze kuwa na heshma na kiongozi mkuu wa nchi kosoa kistaarabu
 
Alipojaribu kujenga hoja kwa huo unaoita ushahidi siku anahojiwa bbc hard talk, aliambiwa na Stephen THOSE ARE INFLAMATORY ALLEGATIONS....akabaki you know stephen...listen stephen....they are car tailing me...
Tatizo kubwa ni kuwa tukijadili mambo ya kitaifa kuna watu wanawaza mambo ya Chama na kumuangalia mtu individually.Ili kujua kama huyu anaweza kuwa game changer tafuta clips za michango yake bungeni na fuatilia proceedings za kesi ambazo amekuwa wakili.Shida kubwa ya sisi watanzania ni kuwa na malengo ya muda mfupi mno na mara nyingi ni miaka mitano ili tushinde tena uchaguzi,kwa hakika hatuna vision,hatujui Taifa letu tunataka liwe wapi afater 25 years.Hata kama kuna maandishi ya namna hiyo bado hatufuati huo muongozo.Nakupa mfano,yote yanayofanyika leo yalishawahi kufanyika miaka ya nyuma chini ya TANU na CCM hii hii.Mwalimu Nyerere alitaifisha njia kuu za uchumi na tukapewa sisi(mashamba makubwa,viwanda,mabenki n.k) nini kilitokea?Tulilumbana mno na mashirika ya fedha ya Kimataifa,mwisho wake ulikuwa nini?Tulifanya operation za uhujumu uchumi ambapo ilifikia hatua watu wakatupa pesa na watu waliwekwa rumande kabla hata ya sheria kutungwa,ni kipi kilitokea afterwards?Tungekuwa na vision tungetumia makosa ya nyuma na kujenga mifumo imara ambayo ingetupeleka mbele lakini leo tunarudia pale pale (TAKUKURU kamata,peleka mahakamani lakini nani anawaza kuhusu vyanzo vya rushwa,kwa nini rushwa iendelee,nini kimekosekana?)Nimekupa mifano hii ili kukujulisha ya kuwa kwa mtu anayejua kujenga hoja kuna mapengo mengi ambayo akiyatumia anaweza akabadili upepo asubuhi.Hili lilitokea 1995,kivumbi cha Lyatonga.Juzi hapa mgonjwa,anayetetemeka,anayepoteza kumbukumbu alileta kizazaa kikubwa.Tunachambua mambo tukiangalia mustakabali wa nchi na si mtu.
 
Inasemekana Musiba anaongea kabla ya TAL leo ili kuonesha namna ambavo TAL anatumika na mabeberu. Na amepewa nafasi na baadhi ya vyombo vya habari!
 
Yeye aongee tu ni haki yake. Lakini kwa kura HAPATI hatuwezi kumpa afufue kesi na MIGA labda atuweke sawa hapo

Ni kweli hutompa kura,Wewe na CCM wote.Na Urais hatopata kama ambavyo unafikiria.Hii pia ni furaha na shangwe kwako na ndugu zako,lakini haiondoi ukweli kuwa CCM inanuka damu ya mtu huyu
 
54 Reactions
Reply
Back
Top Bottom