Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

Uhuru wa kuongea anao sana, tatizo uhuru baada ya kuongea!!
 
Utabiri ushaanza... Mijadala kila kona hata kabla ya hotuba... Kila kitu na wakati wake kwakweli... Sijaona kabisa mijadala ya kanisani leo....
Kwa jirani nako kuko kimya kuliko kawaida.. Naambiwa kunafuka moshiView attachment 1471221

Jr
TL alitakiwa ajitafakari kwanini watu hawakuingia barabarani baada ya kupigwa risasi. Anapoteza muda wake tu.
 
Kuna uwezekanao wa upepo kubadilika kwa kasi sana.TAL anajenga hoja kwa ushahidi (pamoja na wakati mwingine kutumia maneno ya kukera).Jambo la pili ana ujasiri fulani amabo wanasiasa wengine wa upinzani hawana (hata Mbowe hana).Upepo unaweza kubadilishwa tena na huyu aliyegoma kuomba msamaha.Atabadili upepo akiwa ndani ya CCM au nje hatujui.La tatu ni haya yanayoendelea Twittani,si ya kupuuza.Vyombo vikuu vya maamuzi vya nchi visiachie hali ifike mbali,maridhiano kwa mustakabali mwema wa Taifa ni muhimu kuliko mtu mmoja kushinda kwa 99.9%
Alipojaribu kujenga hoja kwa huo unaoita ushahidi siku anahojiwa bbc hard talk, aliambiwa na Stephen THOSE ARE INFLAMATORY ALLEGATIONS....akabaki you know stephen...listen stephen....they are car tailing me...
 
Tafakari kidogo tu.Miundombinu aliyojenga Gadaff na miundo mbinu yetu.Miundo mbinu aliyojenga Hitler akiwa kiongozi wa Ujerumani.Maendeleo ya vitu bila Demokracy yana maisha mafupi sana.Urusi ina collapse kidogo kidogo,eastern europe imekwisha.Tafakari kidogo tu.
Demokrasia ianzie ufipa kwenye uenyekiti. Usiwe mfarisayo wewe...
 
karma is real. kiongozi wa malaika hatakaa kwa amani hata atoe mchango wa trilioni 10 makanisani mpaka apimiwe kwa kipimo kilekile alichompimia TAL.
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Huo ndiyo ukweli mchungu kuumeza,lilikuwa ni kosa dhidi ya ubinadamu wa Mtanzania mwenzetu,ni lazima tupinge kwa nguvu zetu zote vitendo vya namna hii.
Sins uhakika na mazingira ya kifo cha Floyd, ila tumeshuhudia MTU mmoja akionewa watu wanaojielewa wanavyochukua hatua.Pia sifahamu hayo maandamano yangefanyika hapa kwetu wangeuliwa wengine wangapi?Kwa nini POLICE duniani note,pamoja na kufunzwa medani za kulinda Amani bila kutumia kutumia silaha lakini wao wanaua wote pamoja na mashahidi.Hapa kwetu majuzi wamemiminiwa risasi watu saba wakafa kabla ya kufikishwa hospitality ambako hata wangefika hai bado wangefia huko.Hatukuona wa kulaani tendo lile,he tutafahamuje kama walikuwa majambazi?
Tujaribu kulinda haki zetu na za wengine bila ubaguzi.
 
Demokrasia ianzie ufipa kwenye uenyekiti. Usiwe mfarisayo wewe...
Pumbaaaf...!
Unajua maana ya DEMOKRASIA wewe wa au unaropokwa kujifurahisha?
Hebu tuoneshe Demokrasia ya CCM iko wapi? Mafisccm wote mmeufyata kwa Mwenyekiti wenu Magufuli! Mnamwogopa Jiwe kana kwamba Ni mungu mdogo! Wapi Kinana, wapi Membe, wapi Nnape? Wamehoji Udikteta wa Magufuli akawashughulikia Leo watu hawalali wanapiga simu usiku wa MANANE kuomba msamaha kana kwamba wanaomba kwa Mungu muumba wa Mbingu na nji!!
Je, hiyo ndo DEMOKRASIA YA CCM?
 
Kunywa maji mengi upunguze hasira pussy wewe...
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.

Za chini ya carpet, kesho wanaccm wataivamia mitandao yote ya kijamii, kujaribu kupotosha na kupunguza damage ya atakachosema Lissu. Inasemekana watawekewa bundle la kutosha ili kuvuruga mijadala, kwahiyo tuwe makini wasitutoe kwenye reli tukaacha kujadili mambo ya msingi atakayosema.
 
Alipojaribu kujenga hoja kwa huo unaoita ushahidi siku anahojiwa bbc hard talk, aliambiwa na Stephen THOSE ARE INFLAMATORY ALLEGATIONS....akabaki you know stephen...listen stephen....they are car tailing me...

Natamani Rais John Joseph Pombe Magufuli ahojiwe na Stephen wa BBC HardTalk kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi..... dunia ije ishuhudie Jiwe akiadhirika nchana kweupe...!!
I can predict....what Magufuli gonna say...!!
" Stephen...me President you know very well. Tundu Lissu in Swahili not Mzalendo or Msaliti the madini mchanga concentrates mining very difficult....the Lissu defend Acacia take the Makinikia to export but me refuse and ask People ina Swahili the WASIOJULIKANA shoot bullet but misfires the gun! Lissu not good to Tanzania because the...the..not very stubborn kwerikweri..!!
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Takataka
 
TUNDULISU UNAMAONO SANA
 
Tila-lila2,
Umeona mbali sana. You've got it coming all the way from TAL in Europe. CCM na Mwenyekiti wenu mlisha likoroga kesho mtalinywa!!

TAL, Mwanasheria msomi, makini na asiyeyumba kesho ataIshangaza dunia, Tanzania na CCM kwa ujumla
Is it a coincidence or calculated events? George Floyd killing by Policeman in USA last week and Tundu Lissu attack by unknown gunmen September 2018 in an attempt to kill him?Nina hakika TAL anakwenda kuunganisha tukio la kuuawa kwa George Floyd na Polisi na jaribio la kumwua Tundu Lissu.....!!!
Ongeza bundle and Stay tuned.....yajayo yanafurahisha 🤣
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.

Alishaongea sana huko hivyo hana jipya ambalo atasema zaidi ya kurudia yale yale,
Bahati mbaya wazungu sio wa Tanzania wanaosahau kama jana ulisema nini, hivyo watampotezea tu.
Zaidi ya hapo aropoke zaidi uongo kisha aendelee kuogopa kuja Tanzania.
 
Back
Top Bottom