ah! JK lol!Rais Kikwete amjulia hali Msaanii ''mwenzake'' Vengu wa Zekomedy.
View attachment 40645View attachment 40646
Hivi kweli siku zooooote alizokaa ikulu hadi asikie msanii mwenzake anaumwa ndio aende hospitalini!!!! Kuna wagonjwa wangapi muhimbili, mwananyamala etc?
Is this real news?
rais kikwete amjulia hali msaanii ''mwenzake'' vengu wa zekomedy.
View attachment 40645View attachment 40646
hivi kweli siku zooooote alizokaa ikulu hadi asikie msanii mwenzake anaumwa ndio aende hospitalini!!!! Kuna wagonjwa wangapi muhimbili, mwananyamala etc?
Is this real news?
jamani JK akitembelea wagonjwa anaitwa msanii! Ametembelea wagonjwa na jana ametoa zawadi ya mbuzi na mchele kwa wagonjwa
Fang..... ndio maana nimeuliza maana nimeiona iko katika moja ya habari za kazi za Rais!!! I meant hakuna kitu cha kutangaza kuhusu kazi zake hasa zenye maslai na Taifa zaidi ya hiyo???????
Bijou...mbona hiyo humanity iko very biased???? hadi msanii mwenzake aumwe ndio aende kutembelea wagonjwa (na kwa taarifa yako...alienda kwake tu na siyo kwa wagonjwa wengine) kumbuka Mkuu Bijou...gharama alizotumia kuteketeza kwa kwenda kumuona Vengu....haiingii akilini...eti msafara unatoka ikulu...magari mengine barabarani yanasimamishwa kisa bosi anapita kwenda kumtembelea Vengu????? Muhimbili kazi zinasimama hadi Rais amalize ''ziara'' yake??? Ningejua kuwa ni utu kama angekuwa na hako kautaratibu ka kuwaona wagonjwa kama afanyavyo ile ya kila mwezi kuzungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari!!!! Kweli unadiriki kusema Humanity????? Ungekuepo wakati anaenda hapo hospitalini ungechoka mwenyewe!!! Natamani nawe ungekuwa na mgonjwa wako hapo ili uone kituko kilichotokea!!! Pole sana Mkuu Bijou.
Mkuu Kimbunga tafakari sana nilichoandika hapa juu then utoe comments zako
Eid Mubarak
Wakuu dogo anaumwa serious, wala hakuna haja ya kumjadili ****** kwa kumtembelea, inafaa tujiulize namna atakavyo msaidia ukizingatia walizunguka naye nchi nzima kwenye kampeni zao magamba na wao walichangia 'kumuweka madarakani'. They need to reward him for the job they did for the magamba! And the best they can do for him is to find the best treatment of his disease the soonest.
Mwendo ni mbuzi na mchele,lol!jamani JK akitembelea wagonjwa anaitwa msanii! Ametembelea wagonjwa na jana ametoa zawadi ya mbuzi na mchele kwa wagonjwa
Eid Mubarak
Jamani kwani vengu anasumbuliwa na nini
jamani JK akitembelea wagonjwa anaitwa msanii! Ametembelea wagonjwa na jana ametoa zawadi ya mbuzi na mchele kwa wagonjwa
Hiyo 1995 alishinda wapi na nini 80% hebu fafanuaSiyo msanii. Ukweli ni kuwa moja ya mambo yaliyomfanya Mheshimiwa ashinde kwa kishindo (80%) mwaka 1995 ni tabia ya kuwatembelea wagonjwa na kushiriki kwenye misiba ya watu mbalimbali bila kujali vyeo au nafasi zao. Na kama umemfuatilia amekuwa akitumia hii "strength" yake vizuri sana kujenga picha kuwa yeye ni mtu wa watu wa kawaida. Na ninaamini kuwa amefanikiwa sana katika hili.