Kweli JK Msanii!

jk ni msanii,muongo,muhuni,sharobalo na mswahili,nchi ameiendesha kijanjajanja tu lakini mwisho utafika tu
nashaanga wanaomtetea kwa lipi hasa la kupongezwa alilolifanya?
 
Siyo msanii. Ukweli ni kuwa moja ya mambo yaliyomfanya Mheshimiwa ashinde kwa kishindo (80%) mwaka 1995 ni tabia ya kuwatembelea wagonjwa na kushiriki kwenye misiba ya watu mbalimbali bila kujali vyeo au nafasi zao. Na kama umemfuatilia amekuwa akitumia hii "strength" yake vizuri sana kujenga picha kuwa yeye ni mtu wa watu wa kawaida. Na ninaamini kuwa amefanikiwa sana katika hili.
Wewe ni muongo mkubwa, watanzania wote tunajua kuwa yeye ni mtu wa mafisadi wakubwa na sio watu wa kawada.
 
Siyo msanii. Ukweli ni kuwa moja ya mambo yaliyomfanya Mheshimiwa ashinde kwa kishindo (80%) mwaka 1995 ni tabia ya kuwatembelea wagonjwa na kushiriki kwenye misiba ya watu mbalimbali bila kujali vyeo au nafasi zao. Na kama umemfuatilia amekuwa akitumia hii "strength" yake vizuri sana kujenga picha kuwa yeye ni mtu wa watu wa kawaida. Na ninaamini kuwa amefanikiwa sana katika hili.
tungo zako ni tata kama jina lako. pamoja na utata uliopo sijui kama unaweza kututhibitishia kuwa kati ya mwaka 2005 na 2010 hakuwa na mahudhurio mazuri kwenye misiba na wagonjwa ndio maana kura zikapungua au??

huo ushabiki wa kijinga ndio unaoliangamiza taifa letu. cha msingi hapa nikutakie afya njema Vengu..
 
Duh! Nadhani tupo kwenye jukwaa la siasa lakini hatujui siasa. Kwanza hapa wote sio wapiga kura. Mpiga kura ndo huyo Vengu. Sasa ukiwa mwanasiasa na kiongozi utamtembelea Vengu au nyie mnaopinga kila kitu humu? Mmejazwa negativity katika kila jambo.

Acheni porojo, JK pekEe yake hawezi kuleta maendeleo humu Tanzania. Na nyie msaidieni sio kupinga tuu.
Sisi tunapoleta maendeleo yeye na mafisadi wake wanahujumu, sasa tumsaidiaje? kumbe wewe nawe huna maana kama yeye vile!
 
Kwani wewe kuwatembelea wagonjwa inasaidia nini wakati hakuna madawa vijijini ,hio pesa ya diesel kwenye msafara wake magari 30 si ingenunua dawa,halafu hii ya kutoa mbuzi kwenye sikuukuu tu kwanini asiwasaidie kuanzisha miradi ya kuwasaidia siku zote? watz wengi wanamatatizo ya mitaji ,kwani ccm wameuza mashirika na viwanda vyetu vyote kwa wahindi

pumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...
 
Wakuu dogo anaumwa serious, wala hakuna haja ya kumjadili ****** kwa kumtembelea, inafaa tujiulize namna atakavyo msaidia ukizingatia walizunguka naye nchi nzima kwenye kampeni zao magamba na wao walichangia 'kumuweka madarakani'. They need to reward him for the job they did for the magamba! And the best they can do for him is to find the best treatment of his disease the soonest.

Kwani anasumbuliwa na nini?
 
Ukiwa rais bora usitembelee wagonjwa ....na kutumia huo muda kuwatafutia dawa na vifaa....sioni tija Kama utawatembelea wagonjwa ....bila utatuzi wa matatizo Yao ...ni Lusaka cheap popularity.....

Yaani kila siku asubuhi Maongezi huwa hivi...

Jakaya..(akiwa chumbani) : halllow salva.,umeamkaje....
Salva:salama tu Rafiki yangu ...mambo vipi mshkaji...pooh oooh..sorry...muhashamu or sorry mheshimiwa rais..
Jakaya: koh..koh..koh...aah bibiye...hembu niwekee maji yangu special hayo hapo...eeeh hayo..Tia na hiyo glucose....
Salva sorry ...nimetiwa uchovu sana.....mbona unababaika ...au umeamkia kwenye pipa la bombe jolii...haha a haa ...salva bwana...you always make me lough...!
Salva :pole bosi....nipo kamili ...bosi nimeshapita kwa chef hapa ndani kanipa Galush soup...nakusikiliza maelekezo yako bosi!

Jakaya: magazeti yanasemaje....
Salva: Namalizia summary boss...Lakini briefly wanachonga ...sana!
Jakaya: mie nishawazoea...anyway..tufanye PR drama...ili ku dilute ...Mara Lema Lema....wamezidi..na Mimi nataka kwenda na mgeni pale ,wataweka kiwingu...
Jakaya:hembu piga simu muhimbili uangalie nani maarufu yupo pale ....twende....eeeh alafu Salva don't forget ...pia ulizia Eeeh .spendi sana hii lakini anyway check mortuary reports ..nani maarufu kafa....
Salva: okay mkuu ..ndio maana off course nakuita geneous..una plani kweli....narudi baada ya dakika tano....
Jakaya:eek:kay wacha nisikilize mp3 ya Ali Kibba Wakati nakusubiria....

Salva:hallloo kaka...nimecheki ...kule nanihiii ..there is nobody famous Aliyedead.....lakini..kwa wagonjwa slighlt kuna mmoja amabayo it can make some headlines.....unajuwa kuna msanii wa komedi mgonjwa.......eeeh Yule ..tuliyekuwa naye..eeh...unaonaje hiyo kakaa...

Jakaya:......mmmh anyway lets see...mpigie Martina simu mwambie nataka kwenda kumuona....Huyo mgonjwa...eeh..sasa ..hivi!
Salva: watu wa protocol wanasema ..waziri hayupo..na anatakiwa akupokee pale
Jakaya: that is non of my business...waambie ministry ni ziara ya ghafla...
 
jamani JK akitembelea wagonjwa anaitwa msanii! Ametembelea wagonjwa na jana ametoa zawadi ya mbuzi na mchele kwa wagonjwa

teh teh usitake nicheke! Nani amekuambia wagonjwa wanahitaji zawad,mbuz na mchele?WAGONJWA WANAHITAJ HUDUMA BORA ya Matibabu sio upuuz wake alioupeleka
 
Phil Maiko! Ahahhaha mbavu zangu utalipa ahahahah.

Hapana. Huyu kijana walizunguka wote sana kutafuta kura. Ni rafiki yake kwa namna nyingine.

Pia kaka Phil utakubalina na mie kuwa pamoja na mapungufu ya kiuchumi na mafisadi na makundi, JK kwenye kuwa mtu wa watu ni tabia yake. Jamaa yupo down na watu iwe wa chini au wa juu. Mengine semeni ila kwa hili unajua ukweli kaka.
 
Back
Top Bottom