Mimi hapa nilipo nina watoto 7 ila ndugu zangu,wazazi,majirani na kila mtu
wanawajua watoto wangu wa 5 tu,hawa wawili ni siri yangu mimi staki wajulikane
kwasababu mama zao bado ni wajawazito,hawajazaliwa ila pamoja na kwamba hawajazaliwa
Viwanja vyangu,nyumba nimewaandikisha hawa watoto wawili (wasiojulikana) ambao wako tumboni
hawa wengine,nimewaandikia vitu vingine vingine tu,nyumba ndogo na vi plot vi dogo dogo
sasa mtu anunue tu vitu atavyouziwa na hawa wa 5,ila siku watakapoibuka hawa wawili
Balaa lake halitokua dogo na mtu kama wewe sky,hutoamini macho yako maaana hcho kiwanja
kitachukuliwa kama umesimama yani,Viwanja vya aina hiyo hata kama una wanasheria 200
wakukusimamia wakati wa mauzo "usinunue" huwezi elewa sasa hivi,ila majuto ni mjukuu.