Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Nunua. Asaini yeye na ndugu zake. Asiwe peke yake.Changamoto kubwa ilikuwa ni miradhi kwani watoto wote walikua wanamtegemea dingi. Lakini alikabidhiwa yeye akiwa mtoto mkubwa wa kiume.
Nunua. Asaini yeye na ndugu zake. Asiwe peke yake.Changamoto kubwa ilikuwa ni miradhi kwani watoto wote walikua wanamtegemea dingi. Lakini alikabidhiwa yeye akiwa mtoto mkubwa wa kiume.
Kuna rushwa wapi hapo au umesoma ila nawe uonekane umesoma na umechangia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Sasa cha kufanya we mwambie una laki nane au maximum 1m iko hapo kwenye mfuko wa shati sasa hivi, aje na mashahidi na dokomenti zote msainishane. Hata ukija kugundua umelizwa, utakua hujatoboka sana mfuko.Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Sijasema hakuna wapangaji, nimesema upatikanaji wa chumba/nyumba ni rahisi tofauti na miaka ya nyuma ukitaka udalali umependa tu maana matangazo ni mengi nyumba inauzwa wakati miaka ya nyuma hupati bila dalaliNi kweli bei za viwanja zimeshuka sana kipindi hiki, ila bado watu wanauza na kununua kama kawaida.
Hata nyumba za kupanga zimeshuka bei ila wateja wapo wengi kama zamani.
Ni wapi ulipo hakuna wapangaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
60 mpaka 3?hawezi kupa details kwakua hii ni tea.
Olasiti sehemu gani,nina eneo huko halafu niko mbaliTemana nacho da mkubwa, juzi kati hapa nimeshuhudia nyumba zikivunjwa maeneo ya Olasiti Arusha mambo ya mirathi tena kwa wamasai ambao wao kwa mila yao mwanamke harithi kitu ila alishinda dada kesi na wote waiokuwa wameuziwa na kujenga mabungalow yao palivunjwa kama masihara watu walikua wanazimia kama mbu waliopuliziwa HIT ⚡
Unaona mbali mkuu,kuna nyakati ukinunua mali ya dizaini hii inaweza kuwa kama na mikosi flani hivi kwa kuwa jamaa hauzi kwa kupenda. Pili inaweza kuwa kabla ya kifo cha mzee alitoa kauli kuwa nikifa isiuzwe mali yangu yeyote sasa dogo uvumilivu umemshinda,ukichukua unaweza hata shindwa kukiendelezaMkuu uthamani wa kiwanja hupandishwa na fikra za kusadikika, kutokana na hadhi iliyopewa eneo.
Millioni3 ni nyingi sana kununua plain surface, isiyo na kipande hata cha jiwe la msingi, lipia, umiliki, M/Mungu kakupunguzia mkandamizo wa awali, acha kukenua meno kushereheke.
Muziki utaucheza kwenye ujenzi.
Tena usistaajabie sana, saazingine shida hazina adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilisoma nkapita kimya kimya, maana sio kwa utofauti huo60 mpaka 3?
Hata maporomoko ya Victoria hayajafikia kiwango hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo nielekeze ni wap badae nkakuchekie kama kipo au wamasai washajengaOlasiti sehemu gani,nina eneo huko halafu niko mbali
Nikajiuliza, kapteni katuzamisha.Mimi nilisoma nkapita kimya kimya, maana sio kwa utofauti huo
Ndio inayobamba mjini kwa sasa!Alkasusi

Million 60 mpaka million 3...🙄🙄🙄?Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Hakuna kitu kama hiki. Kiwanja cha 60m miaka hio hata sasa hivi hakiwezi kushuka chini ya 30m. Kwanza kiwanja cha bei hio huwa kinakuwa yale maeneo yasiyoshuka thamani.Million 60 mpaka million 3...🙄🙄🙄?
Yaani punguzo la bei ni asilimia 95..... inaonyesha jamaa ana shida ya haraka ya hela.