Kweli hali ya pesa ni ngumu

Kweli hali ya pesa ni ngumu

Eti awamu hii ardhi haina thamani!!...unaongea kama nani mzee...waziri wa ardhi au

Mzee acha siasa tuje kwenye reality. Demand ikiwa ndogo price inashuka. Watu hawana pesa ndio maana wanauza hata bei ya kutupa. Mtu anakupigia simu anauza kiwanja square meter 700 na kunya nyumba haijaisha anakuambia nipe milion 9 uliskia wap haya mambo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.

Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.

Kwani hapo kabla wewe ungeweza kukinunua kwa sh ngapi kutoka 60M ??
 
Temana nacho da mkubwa, juzi kati hapa nimeshuhudia nyumba zikivunjwa maeneo ya Olasiti Arusha mambo ya mirathi tena kwa wamasai ambao wao kwa mila yao mwanamke harithi kitu ila alishinda dada kesi na wote waiokuwa wameuziwa na kujenga mabungalow yao palivunjwa kama masihara watu walikua wanazimia kama mbu waliopuliziwa HIT ⚡
Duh, hii uisikie tu kwingine lakini omba isikukute.

Na mtu unavyojenga kwa kujinyima, kukopa...mwishowe vyote vinayeyuka ndani ya siku moja.
 
The deal is too good to be true.

Kimbia kwa mbio zote au vuta subra huku ukifanya utafiti.
 
Mzee acha siasa tuje kwenye reality. Demand ikiwa ndogo price inashuka. Watu hawana pesa ndio maana wanauza hata bei ya kutupa. Mtu anakupigia simu anauza kiwanja square meter 700 na kunya nyumba haijaisha anakuambia nipe milion 9 uliskia wap haya mambo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Dar au kijijini kwenu
 
Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.

Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
kama huna hela nipigie nkakichukue 0620899604

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamata fursa hiyo,usiulize sababu ya bei kushuka kutoka 60,000,000/= mpaka 3,000,000/=,utawahiwa na wajanja wapenda vitonga.

Hongera,umeolewa kumbe? Siku hizi wanaume bidhaa adimu,ukiwa mchepuko utaitwa mume.

Nilidhani wewe ni nungayembe kama@Rebeca 83 aliyekuwa anaponda bikra juzi kati, alishukiwa kama mwewe na wakware akatulia tuli.

Mtunze mumeo huyo mumeo/mchepuko usipokonywe!!!

Barabarani sasa hivi wenzio wanashindana kujishebedua ili wapate wa kuwachuna.

Hahahahahaha!!!
Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.

Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehehehe!!!!
Temana nacho da mkubwa, juzi kati hapa nimeshuhudia nyumba zikivunjwa maeneo ya Olasiti Arusha mambo ya mirathi tena kwa wamasai ambao wao kwa mila yao mwanamke harithi kitu ila alishinda dada kesi na wote waiokuwa wameuziwa na kujenga mabungalow yao palivunjwa kama masihara watu walikua wanazimia kama mbu waliopuliziwa HIT [emoji298]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom