Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.