Kweli CHADEMA kimenuka! ITV hawajaripoti toka Kigoma!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!
 
Hakuna Chombo cha habari makini kitaripoti maigizo badala ya Habari! Vyombo vya propaganda vitafanya hiyo kazi!
 
We endelea kudhani ni maigizo,utaona kwenye balot box!
 
ITV alikuwa wamuamibisha muhongo na maCCM...Balozi wa South pamoja na kuwa ktk majonzi ya kitaifa na binafsi na ya mzalendo mkubwa wa Africa ,anasimama kuongelea ktk office ya Mengi kuwa watanzania,wazalendo .Nadhani ni blow kubwa sana kwa CCM,kwa muhongo ktk wiki hii.
 
Haina uhusiano!
 
Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!

Angalia tv uhuru na gazeti lenu
 
Mlitumiana msg mjione kwe tv ili mlipwe sio?! nasikia asieonekana kwe tv halipwi.
 
Leo magamba wameshikwa pabaya, mipango yao yote ya kufanya fujo imevurugika.Sasa wanalaumu hadi ITV...mmefulia vibaya.
 
Dr.Slaa umaarufu wake umepotea ghafla, watanzania wa enzi hizi ni werevu sana.
 
So what has happened exactly?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Leo magamba wameshikwa pabaya, mipango yao yote ya kufanya fujo imevurugika.Sasa wanalaumu hadi ITV...mmefulia vibaya.

Kamanda ingekuwa habari njema ungeona mashamsham ya headings! Wee! Ungeonyeshwa watu wanashangilia, wanapiga makofi,shangwe na nderemo! Lakini hali mbaya watani,mkubali au mkatae inabidi mkamuombe radhi dogo!
 
Back
Top Bottom