Kweli CHADEMA kimenuka! ITV hawajaripoti toka Kigoma!

Kweli CHADEMA kimenuka! ITV hawajaripoti toka Kigoma!

Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!

wasipokubali na ukweli huu basi ni wabishi, lazima wananchi wajue kua zitto si msaliti bali wasaliti ni hao wanaofinya uhuru wa mawazo ambao hawataki kupisha fikra mpya
 
ITV alikuwa wamuamibisha muhongo na maCCM...Balozi wa South pamoja na kuwa ktk majonzi ya kitaifa na binafsi na ya mzalendo mkubwa wa Africa ,anasimama kuongelea ktk office ya Mengi kuwa watanzania,wazalendo .Nadhani ni blow kubwa sana kwa CCM,kwa muhongo ktk wiki hii.

Eeh kwani Bw. Mengi nae ni CHADEMA? Cha ajabu ni nini Balozi kuongelea katika ofisi ya Bw. Mengi. Hivi hujui Balozi anaweza akaenda ofisi yoyote ili kujadiliana jambo? Sasa Balozi kwenda kwa Mengi unaona jambo la ajabu sana au kwa vile imetangazwa? Tena hapa Prof. Muhongo anaingiaje!
Inaonekana unamuogopa sana Prof. Muhongo maana kila saa unamlinganisha na Mengi hata kama uhusiano. Tafakari.
 
Tunajua ukweli unauma sana lakini jifunzeni kukili ukweli siyo kutukana watu haya matusi ni dalili za kuvurugwa.

hivi hujui kua cdm ni kichaka cha wavutaji na wauzaji bangi waliobanwa na serikali na kwenda kutafuta sympathy cdm? ndo maana hayana kitu kipya kichwani yakishindwa kujenga hoja yanaharisha matusi. chaga party!
 
We Umewahi Kusikia Chifupa, Sengondo?

Hujajibu swali, hayo majina kama unamaanisha Amina Chifupa na Sengondo Mvungi ni maarufu sana, nimeshayasikia na kama sikosei wote ni marehemu hao.

Jee, umewahi kumsikia Chacha Wangwe?
 
Haina uhusiano!

Nani kakuuliz akam in uhusiano.Hapa nimeweka statement si interrogative sentence.Na issue ni ile ile kuipiga mawe CCM.ndio ninachoongelea kopo wewe,utaka literal meanings tuu.
 
very stupid comments toka kwa watu wanaojiita great thinkers, vijana wadogo wa kitanzania wamekata tamaa, wemekubali kuwa mamluki wa watu na familia fulani hapa nchini, hawafikiri tena, wapi Jenerali Ulimwengu mwana Africa aliyewakilisha vijana na hata kuinua tafia letu ndani ya continent na at the globe, vijana wa leo mnatia kinyaa, kazi hamna, maisha hamna, elimu duni, akili mbovu kama msipojifunza kujenga hoja kwenye platform kama hizi mtajifunzia wapi? This is not about Slaa, eti amuombe msamaha dogo, nyie ndio mnaotaka employer wa leo awaajiri, what is happening today kwenye CC inatofauti gani with hour the boardroom works? shenzi kabisa, mnanunulika bure, mimi sio Chadema, bahati nzuri kadi yangu ya mwisho ni ya CCM wakati ikiwa ni condition ya kurudishwa chuoni baada ya mgomo wa matusi ya nguoni, natapika leo hii nikiwasikia vijana wanavyoongea, na kwa kweli hasa wa CCM na wale wasiona vyama ila wamekaa huko kimaslahi,
 
Nani kakuuliz akam in uhusiano.Hapa nimeweka statement si interrogative sentence.Na issue ni ile ile kuipiga mawe CCM.ndio ninachoongelea kopo wewe,utaka literal meanings tuu.
Kamanda kumbe na wewe ni" too local" naona umeweka kakiingereza kako ka kuungaunga!
 
very stupid comments toka kwa watu wanaojiita great thinkers, vijana wadogo wa kitanzania wamekata tamaa, wemekubali kuwa mamluki wa watu na familia fulani hapa nchini, hawafikiri tena, wapi Jenerali Ulimwengu mwana Africa aliyewakilisha vijana na hata kuinua tafia letu ndani ya continent na at the globe, vijana wa leo mnatia kinyaa, kazi hamna, maisha hamna, elimu duni, akili mbovu kama msipojifunza kujenga hoja kwenye platform kama hizi mtajifunzia wapi? This is not about Slaa, eti amuombe msamaha dogo, nyie ndio mnaotaka employer wa leo awaajiri, what is happening today kwenye CC inatofauti gani with hour the boardroom works? shenzi kabisa, mnanunulika bure, mimi sio Chadema, bahati nzuri kadi yangu ya mwisho ni ya CCM wakati ikiwa ni condition ya kurudishwa chuoni baada ya mgomo wa matusi ya nguoni, natapika leo hii nikiwasikia vijana wanavyoongea, na kwa kweli hasa wa CCM na wale wasiona vyama ila wamekaa huko kimaslahi,
Sasa unalalama nini kamanda? wewe mwenyewe mfumo uliokutoa ujinga mpaka umeweza kuwa Great thinker ndio huu huu unaoupiga mawe sasa,na kujifanya eti sasa na wewe ni mchambuzi mzuri wa mambo! Huko ulikopitia mpaka kuwa na upeo (kama kweli unao) wa kuweza kuchambua mazuri na mabaya, fursa hii umeipata chini ya utawala wa chama gani? usiache nikutukane bure .Nyamaza!
 
Back
Top Bottom