Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Muhimu zaidi ni kwamba mkutano umefanyika Safu nzima ya Katibu Mkuu iko poa. Nyie andamaneni mkichoka mtarudi Mwandiga poor you
Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!
Kamanda mi sitaki kutukana,ukizingatia leo ni ijumaa na nimefanya ibada ya aljumaa tena jamaa, lakini, kwenye hilo bicwa lako kumejaa utoko!
Muhimu zaidi ni kwamba mkutano umefanyika Safu nzima ya Katibu Mkuu iko poa. Nyie andamaneni mkichoka mtarudi Mwandiga poor you
Hopeless....
Dr.Slaa umaarufu wake umepotea ghafla, watanzania wa enzi hizi ni werevu sana.
Mkutano kufanyika ni swala jingine, na watu wamepokea nini ni jambo jingine kabisaaa! Hali mbaya chadema!
​ni kweli werevu hadi wanagoma kwenda kula wali kwenye mikutano ya hadhara.Dr.Slaa umaarufu wake umepotea ghafla, watanzania wa enzi hizi ni werevu sana.
ni kweli werevu hadi wanagoma kwenda kula wali kwenye mikutano ya hadhara.Dr.Slaa umaarufu wake umepotea ghafla, watanzania wa enzi hizi ni werevu sana.
Wangeripoti kwa uhalisia ingekuwa ni aibu tupu. Acha waripoti wanahabari waliobebwa na CHADEMA ili kuwadangaya watanzania - Slaa anajuta kwanini alienda Kakonko, Kibondo na Kasulu.Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!
Ushawahi kusikia jina hili? Chacha Wangwe
Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!
Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!
Msalani neno lingine chooni maana ile ileDr.Slaa umaarufu wake umepotea ghafla, watanzania wa enzi hizi ni werevu sana.
Ushawahi kusikia jina hili? Chacha Wangwe
Wangeripoti kwa uwazi ingekuwa ni aibu. Acha tuendelee kudanganywa na ma-riporter waliojitolea kuuhadaa umma (MAKANJANJA)
Wanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini
1. Wameandaa ziara ya Dr. Slaa ili kuonesha umma kuwa maamuzi ya kuwatimia Zito na Dr. Mkumbo hayana madhara wala athari yeyote kwa chama
2. Ili kufanikisha hilo, wakaandaa watoa taarifa za uongo watakaokuwa wanaripoti kwenye baadhi ya vyombo vya habari (Tanzania Daima) na mitandao ya kijamii (Jamii forum) huku wakidai anapata mapokezi makubwa na kuambatanisha picha zilizopigwa muda mrefu.
3. Ukitaka kupata ladha ya ukweli huu, kama una ndugu yako anaeishi Kakonko au Kibondo muulize kumetokea nini? Na Polisi walifanya nini ili kumuokoa mzee wa watu (Dr. Slaa)? Kama huna ndugu wala jamaa huko, tafuta hata rafiki mwenye jamaa yake huko akuulizie – NI AIBU TUPU. Tuliokuwepo tumejionea
HAWA NDIO WATANZANIA, 2010 WALIKUA WAKIMSHANGILIA LEO WANAZOMEA NA KUFANYA FUJO KAMA HAWAMJUI.
Ushawahi kusikia jina hili? Chacha Wangwe