Kweli CHADEMA kimenuka! ITV hawajaripoti toka Kigoma!

Kweli CHADEMA kimenuka! ITV hawajaripoti toka Kigoma!

Hujajibu swali, hayo majina kama unamaanisha Amina Chifupa na Sengondo Mvungi ni maarufu sana, nimeshayasikia na kama sikosei wote ni marehemu hao.

Jee, umewahi kumsikia Chacha Wangwe?

Wote hao wamenyamazishwa na CCM.
 
Sasa nimeamini kuwa hali ni mbaya sana kwa chadema huko Kigoma! Kwa jinsi niijuavyo mimi ITV, walivyo na mahaba na chadema, hadi sasa hawajaripoti chochote kutoka kigoma! Nadhani wameiona hali halisi na aibu inayomkumba Kibabu kibishi,ambacho leo kinaokolewa na askari polisi,ambao wamekuwa wakiwaelekeza wananchi wawachukie polisi na kuwaita majina mengi ikiwemo policcm! Hapo sasa hakuna video hata moja yenye hali nzuri ya kuonyesha! Kazi kwenu! Mpigieni magoti zito muyamalize! Na leo kasisitiza kuhusu ulazima wa kuleta hesabu za ruzuku! Chadema chaaali! Hiyo ndio dhambi ya kung'ang'ania madaraka!
Kama ITV hawakuonesha angalia TBC!!
 
Tunajua ukweli unauma sana lakini jifunzeni kukili ukweli siyo kutukana watu haya matusi ni dalili za kuvurugwa.

Dr.Slaa yupo kigoma na anawavueni magamba yaliyoshindikana pamoja na porojo zenu kusema asikanyage! kamanda mbowe tutakuwa naye jijini mwanza next week! mtajibeba msimu huu!
 
ITV wameonyesha maandamano ya kumpinga slaa leo asubuhi.
 
Wote hao wamenyamazishwa na CCM.

Ooh una maana CCM unaiamini kuwa inaweza kufanya kazi ya Mungu? hiyo ni imani ya kishirikina kwa mafundish niliyonayo, sijui wewe mwenzetu, una imani ya kishirikina?
 
Hujajibu swali mpaka sasa. Naona una hororoja tu.

Kelele za nini ili hali kiapo cha magamba ni kuwa mtasema kweli daima fitina kwenu mwiko. Swali: Je, jakaya aliposema ataigeuza Kigoma kuwa Dubai, alizingatia kiapo chenu? Na iwapo alipingana na kiapo chenu atasitahili kuwa mwenyekiti wenu?
 
TBCCM jana hawakuonyesha jinsi MACCM ya kigoma na Zitto kabwe walivyoumbuka DR Slaa yuko KIgoma siku ya nne wameonyesha matamko ya mumiani wa zitto wameshindwa kuonyesha jisi Dr Slaa anavyowagaragaraza MACCM kigoma
 
TBCCM jana hawakuonyesha jinsi MACCM ya kigoma na Zitto kabwe walivyoumbuka DR Slaa yuko KIgoma siku ya nne wameonyesha matamko ya mumiani wa zitto wameshindwa kuonyesha jisi Dr Slaa anavyowagaragaraza MACCM kigoma -TBCCM wenyewe wamekacha itakuwa ITV familia ya Zitto ikiongozwa na Bayona na kipenziwe matata na chagulani mchange na nyakarungu ndio unawaita wana kigoma duh
 
Kamanda kumbe na wewe ni" too local" naona umeweka kakiingereza kako ka kuungaunga!

haha...naona umepata ujumbe ..ila kua admit si tabia ya gamba.Mtaanza jitutua kwa upuuzi mkidhani mnarudisha bao...

Ulitaka niandike kiingereza kamili ktk forum ya kiswahili?local ktk localization gani?
 
Back
Top Bottom