Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,320
- 24,191
Kumtumia Musiba kwenye shughuli za kisiasa si ukomavu wa kisiasa.Nakubaliana na wewe kuwa huyu MUSIBA ndio atakaye muangamiza JPM badala ya kumjenga!! Mbinu anayotumia kuwatukana wazee wa CCM ndio zitakazowapa nguvu hawa MEMBE 2020!! It is time you stopped him from his destructive campaign! Remember that it was these people MUSIBA is castigating who were responsible for Magufuli's ascendancy to the presidency and it is the same people who are capable of dethroning him!!
Musiba ni kama kambwa koko kalikookotwa jalalani na kuingizwa kwenye mainstream politics.
Kosa la Bashiru ni kumfanya Musiba na Tanzanite yake kuwa mtaji wa habari za mitaani.
Anayemtumia Musiba ajue kuwa watu wanamheshimu sana JPM, na kwamba hawezi kujiingiza kwenye ujinga kama huo wa kumtumia mtu asiyewajibika kwa lolote kisiasa.