Kweli CCM Wamevurugwa Wakavurugika, Oneni Hii!


MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
4,544
Likes
2,688
Points
280
Age
48
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
4,544 2,688 280
If
Ni kweli si unaona jinsi kina Mze Msekwa na Makamba wanavyojichanganya? Enzi zao hawakufanya chochote hapa nchini zaidi ya kuwaibia watanzania na kujiwekea mikakati yao wenyewe, watu kama hawa hawawezi hata siku moja kumpenda mtu kama Magufuli anayewatumbua. Hata kama akija Membe (which I hope not) awe na anakata maslahi ya vigogo wa CCM, nao LAZIMA watalia tu. Magufuli ni rais wa 10 years.
If wishes were horses the poor owners of horses would be presidents We are in turmoil for that.
 
mkafrend

mkafrend

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
2,184
Likes
623
Points
280
mkafrend

mkafrend

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
2,184 623 280
Hapa kazi tu, bata baada ya kazi!
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,293
Likes
30,677
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,293 30,677 280
Ila Membe akae chonjo kuna wakina DAB wanapiga jaramba pembeni wakisubiri amri tuu pyu pyu pyu "msaliti" maana kuna fomula kuwa yeyote anaye kuja na mawazo tofauti na tofali basi ni msaliti na anatumwa na mabeberu.
Kinachoweza kumsaidia ni kuwa bado anao wenzake ndani "Kaunda suti" wamebaki na watamtonya tofauti na TAL yaliyo mkuta
 
M

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
1,308
Likes
559
Points
280
M

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
1,308 559 280
Ebu tuache haya mambo ya siasa yasiyo tuhusu tucheke kidogo na adithi ya kale inayo mhusisha MTUMWA, WATUMBO KUBWA, MBU, na MUKULUKULU.

Mukulukulu na watu wake walimtuma Mtumwa kwa kumlipa sh 5m kila mwezi ili akeshe kumsaka na kumfukuza mbu anayemng'ata Mukukulu na kumfanya akose usingizi. Mtumwa siku moja akiwa kwenye mzunguko yake akang'atwa na mbu yuleyule sehemu zake za siri, kwa maumivu huku akiwa hana namna ya kumfukuza yule mbu akajitokeza Kachero ambaye ni rafiki wa Mtumwa kumsaidia. Mtumwa asijuwe hata kidogo kwamba Kachero ndio mwenye mbu yule basi pasipo kujijua akatapika kila ushahidi (rekodedi) juu ya kazi yake ya kumsaka mbu huyo inayompa sh 5m kila mwezi, ikiwamo njama mbaya ambayo hataki kuifanya dhidi ya mbu huyo anayempa kipato. Kwenye ushahidi akaongelea juu ya mkenge alioingia yule Watumbo Kubwa aliyezuiliwa kurudi USA. Watumbo Kubwa anadaiwa mshiko wa $100,000 na Mukulukulu alizopewa akamhonge 'kimada' lakini akazitumia na kupotea akidai kimada kazikataa. Sasa Mukulukulu amemwambia azitapike "kwa njia nyingine" ya kumtukana mbu anayemkosesha usingizi. Na watumbo kubwa ameanza hiyo kazi tayari.

Hadithi hii unafundisha nini? Utumwa sio deal, anayekutuma ameshaona risk ya hilo jambo na yakikukuta yeye hausiki. Pia kumbuka aliyekutuma akiona umekamatwa anaweza kukudhuru ili usimtaje.

Haya turudi kwenye siasa baada ya hadithi au tangazo hili la biashara ya utumwa. 😁😁😁😁
 
RUKUKU BOY

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Messages
1,172
Likes
1,171
Points
280
RUKUKU BOY

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2015
1,172 1,171 280
Ila Membe akae chonjo kuna wakina DAB wanapiga jaramba pembeni wakisubiri amri tuu pyu pyu pyu "msaliti" maana kuna fomula kuwa yeyote anaye kuja na mawazo tofauti na tofali basi ni msaliti na anatumwa na mabeberu.
Kinachoweza kumsaidia ni kuwa bado anao wenzake ndani "Kaunda suti" wamebaki na watamtonya tofauti na TAL yaliyo mkuta
Daaaa utakuwa bonge la mistake yaani sahv CCM unabidi wawe wapole, wakimuongelea Membe ndo wanazidi kumpaisha, yaani kwa Membe wamecalculate vibaya
 
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Messages
2,361
Likes
2,493
Points
280
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2014
2,361 2,493 280
Kama ni hivyo kwa nini mabosi wa CCM wanahaha huku na kule?
Wanaujua ukweli kuwa CCM ya sasa IPO kwa nguvu ya dola tuu
Narudia tena na wewe utamkimbia Membe na kwenda kwa Mwanachama mwingine ambaye naye upepo wake utakuja kuvuma kama wa Amber Luty au Membe.
 
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Messages
2,361
Likes
2,493
Points
280
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2014
2,361 2,493 280
Wewe kweli ni BWEGE,unamfananishaje Membe na Ambaruty?
Upepo wa Membe ni sawa na ule wa Amber Luty. Unapotea mithili ya moshi wa udi
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,293
Likes
30,677
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,293 30,677 280
Narudia tena na wewe utamkimbia Membe na kwenda kwa Mwanachama mwingine ambaye naye upepo wake utakuja kuvuma kama wa Amber Luty au Membe.
Ambaluti hivi naye ni mwanachama wa ccm kama Masogange? Kwamba umaarufu mmeupenda?
 
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
10,948
Likes
13,600
Points
280
Age
47
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
10,948 13,600 280
Ni jambo la busara kuombea amani izidi kutamalaki nchini.
 
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Messages
2,361
Likes
2,493
Points
280
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2014
2,361 2,493 280
Ambaluti hivi naye ni mwanachama wa ccm kama Masogange? Kwamba umaarufu mmeupenda?
Upepo wa Amber Luty & Membe unawafanya Wapingajism Mjifariji kinafiki. Hongera.
 
exaud morrey

exaud morrey

Senior Member
Joined
May 22, 2017
Messages
101
Likes
22
Points
35
exaud morrey

exaud morrey

Senior Member
Joined May 22, 2017
101 22 35
Kitakacho mtokea membe ni kile kile kilichomtokea lowasa na ccm itaendelea kupeta vile vile subiri muone lowasa mwenyewe alikuwa na upepo tangu mwanzo kabla hata hajatia nia
My take ..mimi sina chama wala sina ushabiki wowote hayo ni maoni yangu tuu..
Mnafiki wewe
 
D

dumuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2007
Messages
703
Likes
403
Points
80
D

dumuzi

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2007
703 403 80
Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena
Mkuu ni kweli kabisa hii si ccm tena bali ni chei chei em.
 

Forum statistics

Threads 1,238,888
Members 476,226
Posts 29,335,776