Kweli CCM Wamevurugwa Wakavurugika, Oneni Hii!

Nakubaliana na wewe kuwa huyu MUSIBA ndio atakaye muangamiza JPM badala ya kumjenga!! Mbinu anayotumia kuwatukana wazee wa CCM ndio zitakazowapa nguvu hawa MEMBE 2020!! It is time you stopped him from his destructive campaign! Remember that it was these people MUSIBA is castigating who were responsible for Magufuli's ascendancy to the presidency and it is the same people who are capable of dethroning him!!
Kumtumia Musiba kwenye shughuli za kisiasa si ukomavu wa kisiasa.
Musiba ni kama kambwa koko kalikookotwa jalalani na kuingizwa kwenye mainstream politics.

Kosa la Bashiru ni kumfanya Musiba na Tanzanite yake kuwa mtaji wa habari za mitaani.
Anayemtumia Musiba ajue kuwa watu wanamheshimu sana JPM, na kwamba hawezi kujiingiza kwenye ujinga kama huo wa kumtumia mtu asiyewajibika kwa lolote kisiasa.
 
Huenda Musiba anatumikia maadui wa ccm ili kulipa kisasi cha kuukosa hata udc tu! Wenzake kina jerry walimgusa na kumpapasa kidogo Mbowe na Lema wakaula lakini yeye haiyumkini ana gundu na ndio maana kaamua kuipasua ccm mapande mengi kuikomesha! Jitahidi musiba ipasue na uitawanye kabisa!
Thubutu yako!
 
Hauwezi kupotea huu mwezi ukiisha ni 2019 kuna uchaguzi serikali za mitaa So watu watazungumza, pia kina msiba na serikali itabidi wawe wapole maana wakimzungumzia membe watakuwa wamempa umarufu
Narudia tena Membe atapotea soon kama nyimbo ya Nyege nyege ziiiii.
 
Thubutu yako!
Yote yanawezekana! Umulikwe mchana usiku uchomwe! Au huijui nadharia ya pesa? Mtafute yuda msaliti yumo humu atakufundisha jinsi ya kuuma na kupuliza! Msiba ni opportunist tu hawezi kataa kazi kama hizi za kukupeti na kukuuza at the same second!
 
Narudia tena Membe atapotea soon kama nyimbo ya Nyege nyege ziiiii.
Kama ni hivyo kwa nini mabosi wa CCM wanahaha huku na kule?
Wanaujua ukweli kuwa CCM ya sasa IPO kwa nguvu ya dola tuu
 

Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena

Bwa hahahahz
Ujue mkuu watu watadharau bandiko lako ila siku mzee babaa la mababa yao akifyatuka ataharibu hali ya heea yite.
Au anaweza kumtuma makonda babe hips ndio itqkuwa tafrani zaidi
 
CCM inamalizwa na watu ambao wao wenyewe binafsi au wazazi wao hawakuwahi kuijenga .


Ni kweli si unaona jinsi kina Mze Msekwa na Makamba wanavyojichanganya? Enzi zao hawakufanya chochote hapa nchini zaidi ya kuwaibia watanzania na kujiwekea mikakati yao wenyewe, watu kama hawa hawawezi hata siku moja kumpenda mtu kama Magufuli anayewatumbua. Hata kama akija Membe (which I hope not) awe na anakata maslahi ya vigogo wa CCM, nao LAZIMA watalia tu. Magufuli ni rais wa 10 years.
 
Ondoa uwongo wako hapa chadrama mcharuko mizee ya matukio
Hauna unacho jua unajaribu kupapasa tu
Mko gizani bavicha magoti malofaaaaaa
Endeleeni kucheza singeli ya membe mitaani
NO DIGNITY
Zero iq
Tatizo siyo ww ila ni huyo aliyekufanya michezo ya amber ruty kwahiyo kakuharibu akili we kila ulionalo ni chadema mama ww
 

Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena

Wanapoteza lengo tu. Kama ni kujitokeza huwa wanajitokeza 30 na ushee. Huyo embe tayari bado February, mafiga, ashurosi, chatu lenye makenge, professor ugonile, yule shangazi aliyepo meku, na safari hii usimdharau job kifimbo! Watoto wa wengi wa wazeeee pia, yule njemba wa kgm na silooole atavuta mkia.
 
Ondoa uwongo wako hapa chadrama mcharuko mizee ya matukio
Hauna unacho jua unajaribu kupapasa tu
Mko gizani bavicha magoti malofaaaaaa
Endeleeni kucheza singeli ya membe mitaani
NO DIGNITY
Zero iq
Kuja fasta uchukue buku saba zako
 
Ondoa uwongo wako hapa chadrama mcharuko mizee ya matukio
Hauna unacho jua unajaribu kupapasa tu
Mko gizani bavicha magoti malofaaaaaa
Endeleeni kucheza singeli ya membe mitaani
NO DIGNITY
Zero iq
Kweli aisee wewe ni Zero Iq kama yuleee wa magogoni. Mngelikuwa na akili msingefitinika kihivi.

CHADEMA kajituliza anawauliza wananchi kuhusu kikokotoo mlichopitisha kwa hila ya kuwapora wastahafu.
 
Back
Top Bottom