Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Haya mabasi kwa ushauri mdogo tu ndugu tajiri angeyapanga route ya Arusha.. Dar, Tanga... Dar au Arusha.. Tanga. Kwa hii route ya Dodoma, hizo video sijui nini havitakuwepo. Na mtachimba dawa porini maana ustaarabu wa central line wa kutumia vyoo bado ni mdogo sana.

I STAND TO BE CORRECTED
 
Wasukuma wastaarab mkuu! Huwezi kulinganisha na wanyakyusa, miili mikubwa kama vitimoto wanao landalanda mitaa ya sinde kuchakua majalani!
Mabasi ya kwenda Mbeya yote mbofu mbofu!! Muulize falcon mombasa anajua hilo!
Yeye kila kukicha anasifia mademu wa kihabeshi tu, wanyaki wenzie hataki hata kuwaona!!

Hahahhaah sio kwa kichambo hiki jamani, Tuacheni basi jamani wanyaki na miili yetu. Vyakula tunavyo vya kutosha, kwa nini tukonde sasa lol
 
Last edited by a moderator:
Watu watasepa na headphones
Hizo Konda anazigawa kabla ya safari na kabla ya kufika mwisho wa safari anazikusanya.., mara nyingi wezi wa hivi vitu huwa ni wafanyakazi wenyewe na makonda, unajua tena kikulacho....
 
Tanzania ni nchi ambayo ina vituko vingi sana na ndio maana hata huko Dodoma yanakoelekea mtoto mwingine alibeba mabegi yenye 722m kuyapeleka huko!
Nakumbuka Scandinavia walikuwa wa kwanza Afrika Mashariki na Kati kutumia mabasi yenye viyoyozi na hata choo ndani lakini sasa yako wapi!? Negative side ya hii habari ni kuwa huu ufahari unatokea kwenye nchi ya EAC iliyo nyuma kimaendeleo.
Mkuu unaonekana we ni wa juzi sana. Miaka na tisini mwanzoni kulikuwa na basi zinaitwa Atlanta zilikuwa zinaenda Dar-Tanga zilikuwa ni full AC na ndo zilikuwa basi za kwanza kwanza kuweka mizigo chini
 
Haya mabasi kwa ushauri mdogo tu ndugu tajiri angeyapanga route ya Arusha.. Dar, Tanga... Dar au Arusha.. Tanga. Kwa hii route ya Dodoma, hizo video sijui nini havitakuwepo. Na mtachimba dawa porini maana ustaarabu wa central line wa kutumia vyoo bado ni mdogo sana.

I STAND TO BE CORRECTED

hehehe eti upeleke tahmeed au ratco kahama,tabora,mwanza, hehehehe zikienda safari moja zikirudi haziendi tena
 
Tanzania ni nchi ambayo ina vituko vingi sana na ndio maana hata huko Dodoma yanakoelekea mtoto mwingine alibeba mabegi yenye 722m kuyapeleka huko!
Nakumbuka Scandinavia walikuwa wa kwanza Afrika Mashariki na Kati kutumia mabasi yenye viyoyozi na hata choo ndani lakini sasa yako wapi!? Negative side ya hii habari ni kuwa huu ufahari unatokea kwenye nchi ya EAC iliyo nyuma kimaendeleo.
Umenisikitisha sana uliposema Scandinavia walikuwa wa kwanza Afrika Mashariki na Kati kutumia mabasi yenye viyoyozi na hata choo ndani....... Unakumbuka miaka ya tisini Dar - Arusha Fresh Ya Shamba na Royal Sumae?? Tanga - Dar Atlanta Video Coach?? Acha kukurupuka lukindo
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wengi wenu mmezaliwa hivi vitu hamjawahi kuviona that's so why mnapost kishabiki kuhusu wapi bus hizo ziende, ngoja kidogo nikupeni dondoo hii hapa...

Miaka 20 iliyopita kulikuwa na company ya mabasi iliyoitwa SCANDINAVIA EXPRESS ambao walikuwa na mabasi zaidi ya hilo tena scania ambalo kwa bei unapata yutong kama hii mnayoipigia filimbi 3, tena ukitaka kuziona bado zipo pale ofisi za scania kipawa.

Kuhusu route zilikuwepo basi design hiyo kwenda Arusha, Kampala, Nairobi, Mbeya na Dodoma, lakini walikuwa na mipango mizuri but ni mfumo wa biashara ndo ulifikia ukomo

Haya mabasi kwa ushauri mdogo tu ndugu tajiri angeyapanga route ya Arusha.. Dar, Tanga... Dar au Arusha.. Tanga. Kwa hii route ya Dodoma, hizo video sijui nini havitakuwepo. Na mtachimba dawa porini maana ustaarabu wa central line wa kutumia vyoo bado ni mdogo sana.

Moja ya uhakika wa ustaarabu wa kutoharibu hivyo vifaa kwenye basi ni usimamizi, na ndiyo maana hata Scandinavia zilidumu na vifaa kuwepo pasi uharibifu.
 
nauliza kama kuna basi lolote bongo lenye DSTV ndani,kama hakuna njooni msa,alichofanya shabiby huku kenya matatu kibao zina tv kila siti tena hadi hiace

hii ni ya mitaani Nrb

MAT2.jpg MAT 3.jpg lacoste-2.jpg
 
Shabiby aingiza mabasi mapya ya level za MBELE!

Yataanza safari Jumatano hii, Dodoma - DSM. Nauli elfu 35 tu.

Tv kila seat (touch screen) + Headphones, WiFi, kuchimba dawa ndani humo humo na misosi na vinywaji humo humo kwa nauli ile ile ya elfu 35.

Bila kusahau utakutana na warembo na mahandsome wajanja wasiopenda usafiri wa hovyo hovyo, watoto wazuri kutoka UDOM, ST.John, CBE n.k!

Ukiwa mchafu/ msela/mvaa mlegezo, hupandi.

Kapande mascania huko!
.................................
 
Nauli 35,000, nitaendelea tu kupanda ABC za 22,000.
 
Back
Top Bottom