Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Unaweza kuwa unaendesha vizuri ila dereva aliye kwenye gari nyingine akakugonga au kukusababishia ajali, MUNGU ASAIDIE TU AJALI HAINA KINGA
 
Hata uwe na magari mazuri vipi, lakini mishahara ni shida na barabara ni mbovu, ajali zipo pale pale. Kwani kuwa na magari mazuri ndiyo kilometer za safari zimepungua.
 
Je abilia atakuwa ana option ya kusikiliza anachotaka kama ilivyo kwenye flight?

Tatizo ni pale hizo screen zitakapoonyesha taarabu njia nzima!

Duuuu,hapo umeniwacha hoi
 
Na ile ajali ya shirika la ndege la ujerumani majuzi,c rubani ndio alidondosha ndege kwa makusudi!! mkuu ana hoja.

Kwa hilo mkuu kweli lilitokea lkn ni kwa nadra sana ukilinganisha na ajali za huku kwetu
 
Abiria kwake kizuri ni chombo au hilo basi!.Dereva kwake si uzuri wa hicho anachoendesha bali ni maslahi yake.Ndiyo maana wapo tayari kuendesha nyonyamavi kuliko gari lenye vikolombwezo,mwisho wa safari akipiga hesabu hajaingiza hata ndururu zaidi ya kuambulia lawama toka kwa abiria iwapo kawako kosa na kibaya zaidi kukumbana na tochi za police.
 

Attachments

  • 1437560972268.jpg
    1437560972268.jpg
    66.4 KB · Views: 597
kufuatia kampuni ya shabiby kuingiza mabasi ya kisasa na ya gharama nina madereva wake watakuwa waangalifu na kuheshimu kazi yao maana licha ya kuwa ni dhamana kubwa kuendesha gari kama hilo pia ni heshima na wajisikia ufahari hivyo kuwacha uendeshaji hovyo.

na urembo wote huo uliouona, bado ni extremely cheap ukilinganisha na scania marcopolo mpya, ivyo siioni hoja ya mashiko hapo mkuu w
 
Je abilia atakuwa ana option ya kusikiliza anachotaka kama ilivyo kwenye flight?

Tatizo ni pale hizo screen zitakapoonyesha taarabu njia nzima!

Zina option, ukiwa na memory stick au Bluetooth kwenye mobile phone unaweza connect na kupatacha kwako ulichokuja nacho ila sio x tu. Charging ya simu pia kama kawa, internet una surf tu kama una modem yako. Ni touchscreen, Zipoo juu safiri nao
 
na urembo wote huo uliouona, bado ni extremely cheap ukilinganisha na scania marcopolo mpya, ivyo siioni hoja ya mashiko hapo mkuu w

Mkuu nakubaliana na wewe haya mabasi ya kichina ni vikorombwezo tu ili kuvutia soko,ila uimara ni zero
 
we unadhani madereva wanapenda kupata ajali....
tahadhali wanachukua na ajali wanapata...AJALI HAINA KINGA...
watu walisafiri na ndege za kifahari za Concord lakini walipata ajali sembuse gari...!!!...
Ni kuomba tu Mungu atuepushe
 
Kuanguka kwa ndege ni ajali,lkn ajali za bongo ni zaidi ya ajali

Kuna mambo zaidi

- Maslahi mazuri na kuwajali madereva
- Pressure nyingine za kukimbia zinatoka kwa mabosi
- Stress za ajira zisizo na uhakika
- Miundombinu mibovu hata basi la kwenye mbinguni linaweza anguka

etc
 
Hayohayo..... Utapata wapi scania au benz ya namna hii

Ha ha haaa mkuu! Wafanyabiashara wetu hawana uwezo wa kununua Benz & scania marcopolo, kuna mabasi makali sana, hizo bus za aina hiyo kila kampuni wananunua sasa, RATCO ndio wakwanza kuwa na bus hiyo ya 1*2 baadae TAHMEED wakajanayo, so wala haisaidii, kwan TAHMEED wanatembea nayo sana tu, Shabiby hongera zao lakin hiyo waala si sababu
 
Back
Top Bottom