Weeee! watanzania tunavyopenda show na kujidai??? hata iwe 50 tutapanda humo ni mwendo wa selfie na ku upload picha
Aaah kesho ntaipanda hii, inaondoaga saa ngapi?Cc Evelyn Salt.... tutafuka tu. Maiden trip nataka nikulilie
Aaah kesho ntaipanda hii, inaondoaga saa ngapi?
Azipat ajar??
Kule ni SCANIA tu I.e kisbo safari
Acha bhana. . . .!!!!???