mwilawi
Senior Member
- Oct 13, 2013
- 139
- 89
mkabila sana wewewagogo na hayo mabasi mungu wangu
mkabila sana wewewagogo na hayo mabasi mungu wangu
Shabiby aingiza mabasi mapya ya level za MBELE!
Yataanza safari Jumatano hii, Dodoma - DSM. Nauli elfu 35 tu.
Tv kila seat (touch screen) + Headphones, WiFi, kuchimba dawa ndani humo humo na misosi na vinywaji humo humo kwa nauli ile ile ya elfu 35.
Bila kusahau utakutana na warembo na mahandsome wajanja wasiopenda usafiri wa hovyo hovyo, watoto wazuri kutoka UDOM, ST.John, CBE n.k!
Ukiwa mchafu/ msela/mvaa mlegezo, hupandi.
Kapande mascania huko!
Mbona ka roli hili
Safi sana, tatizo sisi wa tz tutaheshimu mali za watu? Yaani hizo head phone wataiba, na uharibifu wakijinga jinga tu utatokea, nimependa sana, walete dar arusha, au dar kampala!!
Mzee, kuna watu wanaendesha ndege na wanaangusha
Weka picha za nje. Isije kuwa mazongtong
Weka picha za nje. Isije kuwa mazongtong
Mzee, kuna watu wanaendesha ndege na wanaangusha
Mzee, kuna watu wanaendesha ndege na wanaangusha
Weka picha za nje. Isije kuwa mazongtong
Kwani hayo ma-zongtong shida yake nini?
Mzee, kuna watu wanaendesha ndege na wanaangusha
Kuanguka kwa ndege ni ajali,lkn ajali za bongo ni zaidi ya ajali