Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Wazambia kipindi cha miaka ya scandinania basi wao walikua wanalishangaa lilivyo zuri wakiwa na mabasi mabaya lakini serikali yao ilipopunguza kodi katika mabasi wao kwa sasa wana iriza iq 7 na 8 na wawekezaji wengine watanzania..sauzi mbali nenda lusaka tuu hapo ukaone mabasi yenye ubora na mazuri.tatizo kodi yake hapa ipo juu ila wafanyabiashara wanaweza nunua kama kodi itawavutia wao kulipa kiasi..
 
Mchina ni mchina tu vitu fake fake ndio anatuletea huku...
 
Naam, nnakumbuka mbali sana nikiona mambo kama haya, nyinyi vijana mshukuru hamjayaona madhila yaliyotukuta awamu hiyo, mnahadithiwa ya uongo tu, Tuulizeni tuliokuwepo.

bibi naona ccm wamekuwekea tena mkatoliki,unavyowachukia wakatoliki sijui utampigia nani kula?
 
bibi naona ccm wamekuwekea tena mkatoliki,unavyowachukia wakatoliki sijui utampigia nani kula?

Nini maana ya Mkatoliki?

Ukishajuwa maana yake utaona ni bora kuliko Lowasa.

Jee, Lowasa ni Mkatoliki.?
 
shabiby aingiza mabasi mapya ya level za mbele!

Yataanza safari jumatano hii, dodoma - dsm. Nauli elfu 35 tu.

Tv kila seat (touch screen) + headphones, wifi, kuchimba dawa ndani humo humo na misosi na vinywaji humo humo kwa nauli ile ile ya elfu 35.

Bila kusahau utakutana na warembo na mahandsome wajanja wasiopenda usafiri wa hovyo hovyo, watoto wazuri kutoka udom, st.john, cbe n.k!

Ukiwa mchafu/ msela/mvaa mlegezo, hupandi.

Kapande mascania huko!

mabasi mazuri sawa lakini kwa sifa zake hizi huenda ya kawa na lengo la kuongeza ushawishi kwa masuala mazima ya michepuko... Kama isue ni kusafiri sasa warembo wakali wanahusika vipi au ndo biashara matangazo?????????
 
champion hoyeeee nauli 12000 tu na tunafika kama wengine kula msosi na kujisaidia Gairo kwa mzee liverpool hotel.
 
Heheheh mtu aache panda ya 22,000 aje ya 35,000 we Watanzania walivyo wagumu

Wanapanda mbona, RATCO EXPRESS Tanga -Dar tsh 35,000 wanapanda nabhuwa inajaa, tena around 370km only sembuse dodoma zaid ya 400km
 
Yaani niongeze hizo Shilingi 15,000 kwa ajili ya kuangalia Video toka Dar hadi Dodoma? aaah wapi, labda angalau ingekua Mbeya au Mwanza hivi!!
 
Kiwango kiko pouwa ila swali ni moja tu, watamaintain? Kampuni za kitanzania zinaanzaga kwa speed then wakishawin soko wanabweteka

Nimewakubali ila kiwango cha madereva hapo ndo tatizo, bado nahofia safari za mabus, kila siku ajali safarini, wanakufa 40 vilema 50, Mungu atusaidie na atuepushe na hili balaa kwa uzembe wa madereva na serikali yetu
 
Bora watutoe aibu maana ukipita nchi za jirani zetu ukilinganisha na mabasi yetu ni aibu
 
Back
Top Bottom