Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,558
Hao wasukuma kwa kupenda kula kula ovyo mara kanunua samaki wa kukaanga mara nini na hayo mafuta yaani hizo screen touch zitajaa mafuta ya vitumbua na samaki hasa wasukuma wanapenda kula kula nishasafir nao sana njia moja ni shida sana hao watu.
Mkuu tunasifika kwa kula coz tunafanya kazi nyingi na kupoteza calories za kutosha! So kula kwetu ni jadi na vyakula tulavyo tunavitendea haki kwa kufanya kazi kwa bidii.
Kule kwetu mtu hanyimwi chakula.
Halafu hiyo habari ya kuchafua seats kwa matuta mmmh sisi wasukuma hatuli vitumbua mkuu. Kwetu ni viazi na ugali.
Hatushibokei samaki sie sio wagogo!