Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Kuna mashpoua na tahmeed mombasa hizo zikasome tu
 
Watu wanamawazo ya kimaskini Mara itachakaa mapema Mara haita dumu, haipat ajali why not think positively and be happy for this guy and encourage others to do the same....from this very slightly observation I guess we have lot of years before getting rid of our poverty
 
kama kwenye ndege vile. safi sana. ile wabongo wataviharibu ndani ya wiki moja tu.
 
Safi sana shabiby, kama uko kwenye dege vile
 
Hongera Mzee Shabiby kwa Kufuata Nyayo za Kina Ratco......
 
Kweli mkuu..wakaribishe huko waone Oxygen buses za hatari mombasa kwenda nairobi mpaka kampala..ni balaaa...Hata hivyo mabasi yapo kwa wenzetu kule zambia na zimbabwe kwenda kwa madiba..yaani ni sleepliner..

Baba yako analo?
KM VP HAMA NCHI TUACHIE WENYEWE.....
Watu tunafikiria kupata mlo wa siku ww unaleta starehe?!!?!?
 
nauliza kama kuna basi lolote bongo lenye DSTV ndani,kama hakuna njooni msa,alichofanya shabiby huku kenya matatu kibao zina tv kila siti tena hadi hiace
 
hiyo mi bus ya kenya ya kuchonga ndo huyu jamaa anaisifia, kuweka wi-fi na tv ni maamuz tu na sio kitu cha kushangaza, hizo tahmeed na modern ndo gar za maana kwa kenya mengine kama umepanda kwenye visiki
 
amaa !!! kumbe wewe huna unachojua zaidi ya modern na tahmeed ?
 
Hahahahahaha mm msukuma imepiga ikulu mkuu

Wasukuma wastaarab mkuu! Huwezi kulinganisha na wanyakyusa, miili mikubwa kama vitimoto wanao landalanda mitaa ya sinde kuchakua majalani!
Mabasi ya kwenda Mbeya yote mbofu mbofu!! Muulize falcon mombasa anajua hilo!
Yeye kila kukicha anasifia mademu wa kihabeshi tu, wanyaki wenzie hataki hata kuwaona!!
 
Last edited by a moderator:

Dah!!! Mecheka sana eti mademu wa kabila lake hataki hata kuwaona, hapo mmekutana wote madada zenu wanamiili mikubwa na sura mbovu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom