Hongera yaho kwa kweli,sasa Dar Moshi Arusha mbona hatupati hy kitu jamani.Shabiby aingiza mabasi mapya ya level za MBELE!
Yataanza safari Jumatano hii, Dodoma - DSM. Nauli elfu 35 tu.
Tv kila seat (touch screen) + Headphones, WiFi, kuchimba dawa ndani humo humo na misosi na vinywaji humo humo kwa nauli ile ile ya elfu 35.
Bila kusahau utakutana na warembo na mahandsome wajanja wasiopenda usafiri wa hovyo hovyo, watoto wazuri kutoka UDOM, ST.John, CBE n.k!
Ukiwa mchafu/ msela/mvaa mlegezo, hupandi.
Kapande mascania huko!
Hongera yaho kwa kweli,sasa Dar Moshi Arusha mbona hatupati hy kitu jamani.
Kuna 360 degree and 3D CCTV camera..!wabongo hatutaiba hivyo vitu kweli!!!!
.
Mie nimepanda Taqwa kuelekea Harare seat zake japo ni za chuma unaweza kuziswichi na kulala kama upo ndani ya airbus na kila kiti kina socket ya kuchaji simu ya abiria japo socket zenyewe ni mahsusi kwa matumizi ya nyumba.
hayo yote ni mafanikio ya bodi zilizoundwa Tanzania. Naona fahari kwa hii teknolojia yetu aisee!
Huyu jamaa anatumia kidole gani hiki ku-touch screen....anatakiwa atumie index finger na sio MIDDLE FINGER...
![]()
Mwezi tu utakuta headphone zinauzwa kigogo sambusa
Mwezi tu utakuta headphone zinauzwa kigogo sambusa
wasukuma waharibifu na washamba mtamtia hasara mzee shabiby,nyie endeleni na usafiri wa treni
Teh TehMwezi tu utakuta headphone zinauzwa kigogo sambusa
Wewe unaumwa sana hivi Jk ana husika vipi hapa?Ccm inaipeleka nchi kubaya sio siri.Mungu atunusuru
...kikwete alaaniwe kwa ubadhirifu wake