Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,560
Naam, ilikuwa Sudan enzi hizo na ilikuwa na TV. Kumbuka hilo. Huo u South Sudan si juzi juzi tu na pia wana TV.
Nimekuuliza vile maksudi tu! Inabidi basi utengue kauli kwamba sisi Watanganyika ni wamwisho kumiriki kituo cha luninga ilhal kumbe kuna vijiinchi vingi vitazaliwa ama kupata uhuru baada ya sisi.
Usilidharirishe Taifa letu bibi FaizaFoxy jivunie kuwa Mtanzania
Last edited by a moderator: