Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Hizi gari zinatakiwa zipelekwe mikoa ya kaskazini watu wastaarabu kuliko wale waliopewa treni siku moja wakaiba pazia zote
 
Wasukuma wastaarab mkuu! Huwezi kulinganisha na wanyakyusa, miili mikubwa kama vitimoto wanao landalanda mitaa ya sinde kuchakua majalani!
Mabasi ya kwenda Mbeya yote mbofu mbofu!! Muulize falcon mombasa anajua hilo!
Yeye kila kukicha anasifia mademu wa kihabeshi tu, wanyaki wenzie hataki hata kuwaona!!

hehehehe kumbe wanyakyusa unawajua hivyo? najua unapenda shepu na tabia za mademu wa kinyakyusa
 
Last edited by a moderator:
Baba yako analo?
KM VP HAMA NCHI TUACHIE WENYEWE.....
Watu tunafikiria kupata mlo wa siku ww unaleta starehe?!!?!?

Dah mkuu umenifurahisha sana..ilikua ni changamoto tu mkuu..
 
Dah!!! Mecheka sana eti mademu wa kabila lake hataki hata kuwaona, hapo mmekutana wote madada zenu wanamiili mikubwa na sura mbovu

Weeee achana na wanyange wa kisukuma wewe they know how to handle! Wanyaki roho mbaya sana alafu miili mikubwa nguvu nyingi hawajui hata kuzitumia!!
 
sisi wabongo bado,hizo oxygen umezijuaje? kenya kuna oxygen za modern coast na madreamliner ya ukweli,nashangaa sana watu wanaanza kuona basi lenye chajin system na tv kila siti mwaka 2015

Napita sana pande hizo mkuu...
 
Ahhhhhhhhhh,wametuharibia saaaaaaaaaaaaanna Usafiri.
Yaani mie nilikuwa napenda TV na Redio visiwepo,sasa hiv hata kutongoza dem itakuwa sheeda sanaa,maana takuwa na Tv na Redio.
Wakati enzi hizo ilikuwa ukifika Chalinze tu unaanza kuona dalili,hadi ufike moro mtoto ni wako.
 
Hizi gari zinatakiwa zipelekwe mikoa ya kaskazini watu wastaarabu kuliko wale waliopewa treni siku moja wakaiba pazia zote

Lake zone hawanaga time ya kuzuzuka na vitu vidogo vidogo km hivyo. Kwanza anaweza apande gari dar-mza na asiguse kabisa hicho kijiTV anachojali afike salama akaendelee kupambana kusaka mbesa!
 
hehehehe kumbe wanyakyusa unawajua hivyo? najua unapenda shepu na tabia za mademu wa kinyakyusa

Dah zile shape zao sio kabisa mkuu! Halafu kitandani ni km umelala na mtungi... hawajui kabisa kuutendea haki uwanja pendwa!!!
 
Weeee achana na wanyange wa kisukuma wewe they know how to handle! Wanyaki roho mbaya sana alafu miili mikubwa nguvu nyingi hawajui hata kuzitumia!!

we si ulisema nikutafutie dada la kinyakyusa?
 
Ila kiujumla nampa Big up shabib ni mimi ni mteja wao toka kitambo sana enzi zile Dom-Dar alikuwa anakimbiza ile mbaya namkumbuka driver mdada jina lake Halima duu alikuwa moto mwingine yule!!
Long live Shabib
 
we si ulisema nikutafutie dada la kinyakyusa?

Aaaaa wapi mkuu! Ndoto yangu mm nikukamatia mnyange wa kihabeshi!! Sitaki kubahatisha na kujipa magonjwa ya moyo kutamani michepuko!!
Maisha yenyewe mafupi why nikae na demu wakufanana na kivuli changu!!!?
 
Ccm inaipeleka nchi kubaya sio siri.Mungu atunusuru
...kikwete alaaniwe kwa ubadhirifu wake
 
Back
Top Bottom