Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

Kweli biashara ushindani, angalia mabasi mapya ya Shabiby

kama kwenye ndege vile. safi sana. ile wabongo wataviharibu ndani ya wiki moja tu.
Mkuu haswa umepatia kabisa hata wanaopanda humo hawatofautiani na wale wanaopenda ndege
Nauli ya Tsh.35000 ni kwa dodoma ni wachache watapanda na ukiona Nauli hapo ilipo hata gari
isipojaa hasara si kubwa ni wachache wenye uwezo wa kuacha nauli ya Tsh.18000-20000
wakakimbilia 35000 wanaokuja huku wengi ni wenye uwezo mzuri kiuchumi na hata wengi ni wastaarabu
Nimesafiri mara kadhaa na gari za ABc,Kimbinyiko Coach Dar-Dodoma Abiria wengi wa hizi bus
ustaarabu wao si wakutilia shaka
 
Halafu kuna mapunguani humu eti "ooh Kikwete hajaleta maendeleo".

Kuna awamu fulani hapa ilivyokuwa haijuwi namna ya kutawala kwa zaidi ya miaka 25 hata TV tulikuwa tunazisikia Kenya na Uganda na Zanzibar na duniani huko.

Tukaweka record ya dunia kuwa nchi ya mwisho duniani kuwa na kituo chake cha TV.

Tumetoka mbali jamani, msisikie.

Faiza kwani hili basi limenunuliwa na Kikwete?
 
Aaaa tutake radhi bibi, unataka kutuaminisha kwamba hata kale ka South Sudan kwa mzee Salva Kiir kalitutangulia kumiriki kituo cha TV?

Naam, ilikuwa Sudan enzi hizo na ilikuwa na TV. Kumbuka hilo. Huo u South Sudan si juzi juzi tu na pia wana TV.
 
Weeee! watanzania tunavyopenda show na kujidai??? hata iwe 50 tutapanda humo ni mwendo wa selfie na ku upload picha

Hahahaha selfie za kumwaga kama ni mtu yupo ndani ya Emirates vile.kila kona na wenye mababy zao ndio sehehmu ya kuchukulia ujikko
 
Hahahaha selfie za kumwaga kama ni mtu yupo ndani ya Emirates vile.kila kona na wenye mababy zao ndio sehehmu ya kuchukulia ujikko

YAaani...we ngoja yaanze safari ruti za kwenda zanzibar, mapumziko zitakwisha wote dodomaaa
 
Enzi zile ulikuwa ukipanda gari kwenda mwanza mkifika sekenke mnashuka na kutembea kwa miguu duuu.mwaka 94 nilitembea.lakin yote hayo ni maendeleo.ila tunaweza pata zaidi hayoo.
 
Ccm inaipeleka nchi kubaya sio siri.Mungu atunusuru
...kikwete alaaniwe kwa ubadhirifu wake

Huna haya wala hujuwi vibaya, Kikwete amewabana mlikuwa mnaiba mawilayani na halmashauri huko, ndiyo sasa chuki zenu.

Tena mtakoma kwa Magufuli, wote mtasema majumba mliyajenga kwa fedha za biashara ipi.
 
Naam, nnakumbuka mbali sana nikiona mambo kama haya, nyinyi vijana mshukuru hamjayaona madhila yaliyotukuta awamu hiyo, mnahadithiwa ya uongo tu, Tuulizeni tuliokuwepo.

ina maana nilipozaliwa mwaka 1990 ulikuwa ni wakati wa ahueni kwenu?ukilinganisha na nyuma ya hapo
 
naskia wakati huo mabasi yenu yalikuwa aina ya leyland,kuna basi lilikuwa linaitwa mkaramo kama skosei FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
baada ya miezi miwili mabasi yatakua hayana izo siti.
 
Back
Top Bottom