Kwaresma njema

Kule mambo yameshakaa sawa halafu nimerudi na jiwe la almasi worth yake nitakuambia tukiingia chumbani asije akasikia Kabakabana
Umeanza kuninunua eeh?.. Wifi, wifiii, wifiii njoo ananivutia chumbani!
 
mzoefu huyu mdogo wangu namfahamu sana aliweka chumvi kwenye chakula miaka mitano iliyopita kikageuka nondo

Teh teh teh mbona ulliweka wewe halafu ukaniomba tukiulizwa nijiseme mimi maana ulikuwa unaogopa bakora za mdingi
 
Kule mambo yameshakaa sawa halafu nimerudi na jiwe la almasi worth yake nitakuambia tukiingia chumbani asije akasikia Kabakabana

hehe eti almasi,unaiskia tu hata kuiona bado.Mimi almasi ya nini wakati na kitu cha tanzanite shingoni lol
 
Teh teh teh mbona ulliweka wewe halafu ukaniomba tukiulizwa nijiseme mimi maana ulikuwa unaogopa bakora za mdingi

koma koma,hayo mambo yako usinisingizie mimi,kama kweli inakuwaje unauza majivu?
 
Asante sana ndugu, tupeane myo, tukumbushane tuhizane kutubu, kusaidia masikini na kufunga
 
Back
Top Bottom