trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Habari zenyuu...
Wifi kweli ulinambia, huezi amini tumeenda na kakako kanisani kantoroka kabla misa haijaisha na hivi nampia simu haipatikani... Hajapakwa hata majivu khaaa!ooh nishaelewa sasa,ndo maana anakufanyia vituko na bado upo! Itabidi nikufanyie maombi maalum,
Habari zenyuu...
Tunaendelea vizuri. Karibu nyumbani.Asante...
Vp maendeleo yenu na Nitty?
Habari zenyuu...
Wifi kweli ulinambia, huezi amini tumeenda na kakako kanisani kantoroka kabla misa haijaisha na hivi nampia simu haipatikani... Hajapakwa hata majivu khaaa!
Na wewe pia mpendwaubarikiwe sana ndugu
aliogopa mapepo yangepiga kelele,nilijua tu
Nilitoka nje kidogo kurudi ndani tayari zoezi limeshakwisha si inajua ni la mda mfupi