Kwaresma njema

Hebu angalia hivyo avatar ya kakako afu unambie kama anafanania kupigwa...lol.

Ntaanzia wapi na kuishia wapi? Unadhani kalegea kama Bishanga eeh?

wee si uliniambia umesomea kung-fung?unaweza kumpiga sana tu
 
Bado sijaelewa mpaka ufafanue, safari gani ya usiku afu asubuhi umerudi...

Kulitokea wizi wa kuvamiwa kwenye mgodi wetu mwingine kwa ilibidi tuende kama team ili kuhakiskisha mambo yanaenda sawa. Ilikuwa ni ghafla mno
 
Kulitokea wizi wa kuvamiwa kwenye mgodi wetu mwingine kwa ilibidi tuende kama team ili kuhakiskisha mambo yanaenda sawa. Ilikuwa ni ghafla mno

anakudangaanya anakudangaaanya huyooo
just singing
 
Kulitokea wizi wa kuvamiwa kwenye mgodi wetu mwingine kwa ilibidi tuende kama team ili kuhakiskisha mambo yanaenda sawa. Ilikuwa ni ghafla mno
Ukitaka nikuelewe, andika haya maelezo kwenye kijitaftari afu ugonge muhuri wa kazini.
 
Mmh hizo zawadi utadhani masharti ya kwa mganga wa kienyeji? Aya nitajitahidi ila kwenye hapo kwenye chama ni mgogoro wa utambuzi

na kwa waganga unaendaga eeh? Mtafute mzee mtambuzi akusaidie
 
Back
Top Bottom