Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,632
- 1,106
"Kwaraha zetu peke zetu, na maprimitivu na maparalize"
"Nimeshaongea na Elon Musk amesema atatupatia Internet bure"
"Nimeshaongea na mkuu wa Satellite akasema atatusogezea satellite siku hiyo"
"Nimeshaongea na Mkuu wa Majeshi akasema atakuwepo"
"Nimeshaongea na umoja wa Mataifa wakasema watakuwepo"
"Marekani itakuja na Ujerumani"
" Majeshi yote na ya Nyoko nyoko"
"Na mafyoko nyongo"
Kubabake
Nyoko nyoko na fyoko nyoko
Hahahahahahahahahahah
Mtoto mngemse kweli yule sijui kajifunza wapi uhuni
Nchi imejaa vituko vitupu bando ukose tu wewe bababake
Yule akishikwa na Genz anatakiwa apigwe rombo