Kwapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwapa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Jul 28, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani nitafanya kila niwezalo ili nilione. Nitageuka, nitajifanya nimeangusha kitu kwa hiyo nitainama n.k.
  Akinyanyua mikono ndio kabisa nashindwa kujiuzia. Lazima nipige chabo.

  Je kuna ukweli wowote kuhusu ile nadharia ya kwapa? Kwamba harufu fulani na mwonekano wake vinatoa kemikali ambazo humvutia mwanaume?


  [​IMG]
   
 2. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,837
  Trophy Points: 280
  Kuna vikwapa dizaini badala ya kumvutia mwanaume vinamfukuzilia mbali, usiombe ukakutana navyo vya namna hiyo.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Imagine kuna vikwapa vingine hata ukipishana na mtu tu unalisikia balaa lake sasa imagine NN anavyosema atafanya kila liwezekanalo angalau aone kwapa mbona ile harufu yake tu itairudisha dhamira yako nyuma
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,092
  Trophy Points: 280
  duh kaka kweli unavutiwa na kwapa mie uwa kitovu cha mwanamke yaani nikipishana nae m/mke kitovu nje naweza hata kujikwaa kwa kuangalia ndio maana uwa nashinda kuangallia wacheza shoo wa Twanga na Ngwasuma napata burudani na kuona vitovu ndege wawili kwa jiwe moja
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mmh we mkali dahh.ata kwapa lenye nywele ndeeeeeefu zenye rangi kama kahawiaa au km imeota mv iv pia wapenda?:bowl:
   
 6. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ama kweli JF inaburudisha, hapa niliposina mbavu Rose.:laugh:
   
 7. 2my

  2my JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wajameni msiombe mkutane na kwapa linalotema lol utadhani umepishana na gari ya taka!
   
 8. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hahahaa...Umenikumbusha mabli sana broda... miaka hiyo praimari skuli..nlikuwa na kipande cha kioo... ticha mnoko wa kike akipita kukagua madaftari darasani..akilipita dawati la kwangu akaenda lialofuata..basi kioo kinapenyezwa chini kati ya miguu yake wakati yeye yuko bize na kusahihisha...nilivyokuwa navpiga chabo.....Siri yangu!!!
   
 9. L

  Lady JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hahaha, JF kweli kiboko, umenikumbusha mbali kweli!
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wewe hujakutana na Makwapa, Hamu yako yote itakutokea puani.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jul 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Siku akikutana na makwapa huo mchezo wake wa kupenda makwapa utamuisha
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Panda magari yanayoenda mbagala muda wa mchana kutokea feri theni simama katikati ya watu sitaji jinsia hapa then appetite ya kwapa itakuwa mwisho wake.
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hauko peke yako!

  Mimi pia ni mgonjwa hii kitu; kwa ujumla mie pia ni mgonjwa wa nywele za huko na kuleeeeeeeee!

  Sasa sisna ushahidi wowowte wa kisayansi ila kwa kweli Hata kama nilisusia game kiasi gani basi Mama jr hujitia kunikaba akihakikisha kuwa pua itabanwa kwa muda pale kwenye kwapa yaani hapo hata kama nilikushikia bunduki mdada lazmia niiachie kwa mzuka! :becky:
   
 14. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh aisee nimecheka sana hapa
   
 15. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,918
  Likes Received: 21,034
  Trophy Points: 280
  hivi tumewakosea nini sisi wa mbagala??kwanini usiseme panda daladala mchana....mpaka utaje mbagala.....
   
 16. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Natokea mbagala pia kuna hio adha. Kuna swali jingine?
   
 17. D

  Dick JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makwapa mengine utafikiri mfuniko wa septic umeondolewa. Kero kweli.
   
 18. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kwapa zingine unaweza ukapata kihindihindi... japo nasikia kuna wengine hawasafishi wakiamini kuwa zina mvuto wa ki-mahanjumati!!!
   
 19. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hata mi nikiona kwapa na vinywele flan lazma isema "kidumu chama cha mapinduzi"
   
 20. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani vikwapa siyo TZ kwetu tu :nono: hata huku maeneo ya watu, ukiingia kwenye mabasi yao wanayaita ( gon gon chicha) mh vikwapa mtindo mmoja.Tena wenyewe hawanyoi basi mh hatari tupu.
   
Loading...